MADAKTARI: HATUGOMI lakini TUTAKATAA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
"Tutakataa kimatendo na kimawazo. Hatutakuwa kama mwanzoni. Huduma zaweza kuimarika lakini zisiwe bora. Hatuwezi kuita tunachofanya ni mgomo kwakuwa hatua za mgomo halali hatujazifuata. Tutajua cha kufanya. Ngoja uone..." Ni kauli ya Madaktari Waandamizi niliozungumza nao asubuhi hii Muhimbili na Temeke. Sijui itakuwaje...
 
Back
Top Bottom