Ozzie
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 3,217
- 1,259
Kuna waraka ulitolewa na serikali mwaka 2010, ukihusisha malipo ya muda wa ziada, kwa watumishi wa serikali wanaofanya kazi muda wa ziada baada ya saa za kazi (ukilenga zaidi watumishi hasa wa afya). Bahati mbaya waraka huo haujawahi kutekelezwa na ukafichwa kapuni kwa madai serikali haina pesa wakati watumishi wengine wakizidi kupandishiwa. Pamoja na hilo, budge za 2010/2011, 2011/2012 na 2012/2013 zimeshindwa kufikia kiwango husika.
View attachment 57249
View attachment 57249