Serikali dhaifu na baba muovu!

Msendekwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
442
168
"Ni nani miongoni mwenu ambaye mwanae akiomba samaki atampa nyoka?
Au akiomba yai atampa nge?
Hata ninyi mlio waovu huwapa watoto wenu vipawa vyema"
~ Yesu.
Najaribu kutafakari, imekuwaje serikali ilipoombwa na madaktari kuweka posho ya mazingira magumu, hatarishi, usafiri, badala ya kuwapa, ikadai kuongeza posho ya postmortem ambayo haikuombwa, au hicho ndo kipawa chema ilichokiona?
Na imefanya hivyo ikijua wazi kuwa postmortem hazifanywi na kila daktari na wala si shughuli ya kila siku?
Hv imeshindwa ht kuiga mfano wa baba muovu kwa kuwasikiliza madaktari na hivyo kuwaokoa watoto wake(wananchi ilioingia nao mkataba wa kuwahudumia kwa njia ya kura)!
Ht Farao na uovu wake, alijua kuwapigania wamisri, ht ikibidi kwa kuwatesa waisrael,
lkn yetu sivyo, au kwa vile Farao hakuwa dhaifu?
 
Nadhani hilo ndo la maana kwao kufanya.
Au wasababishe vifo tata kwa taaluma zao bila kuacha ushahidi wa kujiweka hatiani, kisha wavichunguze na kulamba posho.
 
Back
Top Bottom