Picha zinazoonyesha udhaifu wa viongozi wetu

Chenge

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
1,073
377
Kulala hadharani tena wakati wa mambo muhimu si udhaifu?

CHANZO CHA KULALA LALA OVYO KAMA TEJA NI UCHOVU NYAKATI ZA USIKU (ATUELEZE ANAKESHA AKIFANYA NINI),MARADHI KAMA SLEEPING SICKNESS AU NI NINI?

JE INAWEZEKANA WASSIRA ALIKWENDA KWA BABU WA LOLIONDO KUSAKA TIBA YA SLEEPING SICKNESS?

KIONGOZI MCHOVU KAMA HUYU ANAPASWA KUSTAAFISHWA KWA MANUFAA YA UMMA.LAKINI INAELEKE KULALA HADHARANI NI TATIZO LINALOANZIA NGAZI ZA JUU KABISA

NA LIMESAMBAA MIONGONI MWA VIGOGO,KAMA PICHA ZIFUATAZO ZINAVYOONYESHA (MAJI HUFUATA MKONDO)

MAJI HUFUATA MKONDO HATA WANANCHI NI KUCHAPA TU USINGIZI

JK katuambukiza udhaifu ndio maana tukampa ridhaa ya kuongoza nchi mara ya pili..:sad:
 
Ni kweli mdau huaga mimi nashaangaa kweli,,ok potelea mbali prezda ana mambo mengi state house wakati mwingine analala late.sasa watu wa usalama huwa hawapo hata kwa mbele yake..jk kwa mimi namkubali but tearm yake ndo inamcost?!ni sawa na wewe ukizaa mtoto kilema huwezi kukataa..hata prezda najua ashastuki viongozi wengine vimeo>>>mungu yupo upande wetu cdm.next ellection goma letu,,kimbiza mwizi men..sijui nep atakuwa wapi??

Wao wana hela sisi tuna mungu.
 
Kazi ya kushinda kwa waganga usiku kucha na kuchinja mbuzi makaburini si mchezo. Ndio maana unaona hao jamaa ikifika muda wa binadamu wa kawaida kuwa macho,wao wanakuwa hoi kwa heka heka za usiku kucha.
 
hahaa yaani kuna mmoja kavaa ushungi ndo kaniacha hoi ..yaani kaachama as if anapokea sakramenti ya ndoa...kudadadeki...yaani JK katuambukiza udhaifu
 
Kulala hadharani tena wakati wa mambo muhimu si udhaifu?

CHANZO CHA KULALA LALA OVYO KAMA TEJA NI UCHOVU NYAKATI ZA USIKU (ATUELEZE ANAKESHA AKIFANYA NINI),MARADHI KAMA SLEEPING SICKNESS AU NI NINI?

JE INAWEZEKANA WASSIRA ALIKWENDA KWA BABU WA LOLIONDO KUSAKA TIBA YA SLEEPING SICKNESS?

KIONGOZI MCHOVU KAMA HUYU ANAPASWA KUSTAAFISHWA KWA MANUFAA YA UMMA.LAKINI INAELEKE KULALA HADHARANI NI TATIZO LINALOANZIA NGAZI ZA JUU KABISA

NA LIMESAMBAA MIONGONI MWA VIGOGO,KAMA PICHA ZIFUATAZO ZINAVYOONYESHA (MAJI HUFUATA MKONDO)

MAJI HUFUATA MKONDO HATA WANANCHI NI KUCHAPA TU USINGIZI

:A S confused::mad::sad:!!!!!!!!!!!!
 
Loo!wakavumbua style ya kulala na pen ili waonekane wako bize,pumbavu kabisa.
 
Kulala hadharani tena wakati wa mambo muhimu si udhaifu?

CHANZO CHA KULALA LALA OVYO KAMA TEJA NI UCHOVU NYAKATI ZA USIKU (ATUELEZE ANAKESHA AKIFANYA NINI),MARADHI KAMA SLEEPING SICKNESS AU NI NINI?

JE INAWEZEKANA WASSIRA ALIKWENDA KWA BABU WA LOLIONDO KUSAKA TIBA YA SLEEPING SICKNESS?

KIONGOZI MCHOVU KAMA HUYU ANAPASWA KUSTAAFISHWA KWA MANUFAA YA UMMA.LAKINI INAELEKE KULALA HADHARANI NI TATIZO LINALOANZIA NGAZI ZA JUU KABISA

NA LIMESAMBAA MIONGONI MWA VIGOGO,KAMA PICHA ZIFUATAZO ZINAVYOONYESHA (MAJI HUFUATA MKONDO)

MAJI HUFUATA MKONDO HATA WANANCHI NI KUCHAPA TU USINGIZI

Mbaya zaidi kachapa usingizi wa pono wakati shughuli muhimu inayohitaji mchango wake ikiendelea, na akiamka hapo analipwa posho kubwa inayotokana na kodi yangu mimi na wewe! Ee Mungu tuepushie hili janga!
 
Back
Top Bottom