leo najivua gamba rasmi mbele ya mh kasulumbai hapa nzega katika M4C!

Gwaks makono

Senior Member
Aug 27, 2011
110
16
kutoka uvunguni kabisa wa moyo wangu na kwa nia ya dhati kabisa bila kushurutishwa na mtu yeyote nimeamua kuvua gamba na kuvaa gwanda katika mkutano mkubwa utakaohutubiwa na mbunge wa maswa magharibi mh silvester kasulumbai.wanamabadiliko wenzangu mnipokee(M4C DAIMA)
 
Tunakuomba uje na moyo wako wote pia. Siyo uvue gamba na kuvaa gwanda wakati moyo umeuacha ccm kama shibuda.
 
Mkuu sina chochote cha kukupa zaid ya kukwambia "HONGERA" usisahau kusoma katiba ya chama!!
 
Asante kwa kuachana na hao wadhaifu na tena ni wazinzi magamba,. Karibu peponi
 
Tunakuomba uje na moyo wako
wote pia. Siyo uvue gamba na kuvaa gwanda wakati moyo umeuacha ccm kama
shibuda.

usiwe na hofu kamanda ni kwa nia ya dhati kabisa kutoka uvunguni mwa nafsi yangu kama nilivyosema katika uzi wangu hapo juu!!
 
Chunga, magwanda ya khaki huwa yanatoa harufu ya kikwapa yanaporowa jasho.
 
Back
Top Bottom