M4C tabata kimanga ni saa ngapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C tabata kimanga ni saa ngapi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makirita Amani, Jun 23, 2012.

 1. Makirita Amani

  Makirita Amani JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,184
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  kwa wale wanaojua mkutano wa lema wa leo utakao fanyika tabata kimanga ni saa ngapi naomba watupe taarifa.
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  OOps! Na mimi naomba nihabarishwe please I will be there! Unajua huwa natumia muda wangu weekend kuhamasisha watu so itakuwa vizuri kama nikihudhuria mkutano nione kama kazi ninayoifanya kupita mitaani na kutumia simu inafanikiwa kwa kiasi. Tuna vikundi vyetu hapa Tabata kimanga tunahamasishana sana kila weekend na wakati wa jioni baada ya kurudi kazini. Pia huwa tunapanga mikakati na kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kuwahamasisha watu tunapokwenda likizo vijijini. Watu wa kijijini kwangu Mtwara walikuwa wagumu sana kuondoka ccm ila kwa sasa napata unafuu baada ya kupokea massage nyingi kwamba wengi wamehamia CHADEMA. Ila Mungu ni mwema tutasaidiana kwa kila njia tuone ni kwa jinsi gani tutaing'oa ccm. Yaani sitaki kuisikia tena tumechoshwa jamani wanyama, madini na kila kitu kimehujumiwa
   
 3. Makirita Amani

  Makirita Amani JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,184
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  nipo kimanga hapa, naona maandalizi yanaendelea.
   
 4. by default

  by default JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tupo mbali nitafuatilia uzi
   
 5. s

  smgsmg Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo kimanga uongozi wa kitaifa hawajafika.eneo sio Zuri yn ni padogo sana.peoples power
   
Loading...