Ahmed Rajab; mzalendo au mchochezi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahmed Rajab; mzalendo au mchochezi ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yoso, Jun 23, 2012.

 1. Yoso

  Yoso JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana makala za mwandishi wa habari
  Ahmed Rajab katika gazeti la Raia mwema zinazozungumzia masuala ya
  kisiasa zaidi nilichogundua kuwa huyu mwandishi ni mtu anayeshabikia
  sana kuvunja muungano na kubariki mienendo jumuia ya uamusho,z'bar
  je huyu jamaa ni mzalendo au mchochezi,naomba tumjadili.
   
 2. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mzalendo, msemaukweli.
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Lete hoja zake kwanza ili tumjadili vizur
   
 4. d

  dandabo JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Huyu jamaa ni mchochezi. Nimepitia makala zake nyingi mno na nyingi kati ya hizo zina ujumbe uleule wa uamsho.
   
 5. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Nitarudi na majibu stahili
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mzanzibar! Za Mwanakijiji na Karugendo je unazisoma? Wazalendo au Wanaharakati wa kikatoliki?
   
 7. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  We ni mjinga tu! Na huelewi ila ipo siku utaelewa. Siku zote unapenda kuona habari unazozitaka wewe tena zile za kupikwa na nadharia zaidi,hapo roho na akili yako hutua kwa utulivu.Habari za halihalisi huzitaki kwakuwa kwako ni uchochezi na machukizo makubwa! Rajab anasema kweli. Kamakweli wewe unapenda haki na kweli hebu nipe chanzo cha kuibuka Al-shabaab wanaoitwa magaidi.
   
 8. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ahmed hana matatizo ni msema haki amesimamia anapoamini penye usawa kama nyie makatoliki hamumuungi mkono kalaleni
   
 9. Yoso

  Yoso JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nilipoanzisha thread hii sikua na maana ya kuhukumu mawazo na hisia za Ahmed Rajab lakini ukweli lazima ujisimamie wenyewe,anapodai kwenye
  moja ya makala zake kuwa uamusho hawahusiki na vurugu na vitendo vya uchomaji makanisa alikuwa anamsemea,hamjui kuwa kushabikia mambo kama haya ya uvunjifu wa amani mbele yeti kuna dhahama kubwa ,basi siku moja tutarajia yale ya al-shabab,boko haram hata tuareg guerilla kule mali.
   
 10. Yoso

  Yoso JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bornvilla ,uamusho zenji na al-shabab wote ni islamist sijui wewe mwerevu uniambie hiyo haki wanayoitafuta ni ipi zaidi ya udini unaowasumbua!!!
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,831
  Trophy Points: 280
  Leta hoja zake.
   
 12. m

  mzaire JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama wewe ni mjinga na mpumbavu sana, sasa ulitaka ashabikie kuwa MUAMSHO wamechoma makanisa? Kwani amewaona wakichoma hayo makanisa?

  Ondosha utumbo wako hapa mmezoea kuweka propaganda zenu na kuzifurahia, ila mkiambiwa ukweli mnapindisha.

  Wee Mpumbavu sikiliza, MUAMSHO ni ya Wazanzibari wote fuatilia Baraza la Wakilishi huko Zenji ndio utajua kuwa hata wawakilishi ni UAMSHO wanasema hv "TUACHIWEEEEE TUPUMUEEEEE" ambayo ni kauli mbiu ya MUAMSHO.  JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA propaganda zenu baadae.
   
 13. Yoso

  Yoso JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mzaire we mse****e utanisababisha nipigwe ban hivi unafikiri nani anang'ang'ania muungano na wachovu kama ninyi mliozoea misaada ya tende na halua toka kwa mabwana zenu kwani mnapochoma makanisa kwani huo muungano uliletwa na makanisa stupid!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ni Mwananchi huru na anapaswa kuongelea yanayombugudhi Moyoni Mwake; na kama ni kuwa

  hautaki Muungano Nadhani yuko huru kuuongelea atakavyo, Tanzania au Tanganyika na Zanzibar

  ni nchi huru na Wananchi wake ni huru Na Hajasema anamchukia kiongozi yoyote isopokuwa ni

  huo Muungano labda unahitaji Marekebisho na sio Uchochezi Anaongelea Mengi kuhusu wabara

  pia na Wazanzibari kuwa kuna uhusiano wa kijamii kwahiyo Hoja zake sio za kuzichukia.
   
 15. Yoso

  Yoso JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kuna ushahidi tosha kuwa moja ya wanauamusho walikamatwa kwenye haya matukio ya uchomaji baadaye anaibuka mwandishi aitwaye Ahmed Rajab katika moja ya makala zake na kudai eti "sio vizuri kulaumu kundi lolote katika tukio hili "lakini tukumbuke Rwanda ya Genocide (kimbali) ilichangiwa vizuri sana kuibua mauaji na watu wadizaini ya Ahmed Rajab ,mimi nafikiri kwa mtaji wa huyu mwandishi na UAMSHO tutarajie makubwa.
   
 16. DEO MAFURU

  DEO MAFURU Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Al-Shabaab wameitwa magaidi na US Coz wanaingilia interest zao nasi tukakubali ni magaidi leo hii UAMSHO nao wataitwa magaidi na tutakubali kwa Sababu ya kuficha ukweli. Sometimes ukweli usemwe tu cna shida na Rajab Ahmed
   
Loading...