JK-ananichanganya kwa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK-ananichanganya kwa kweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Adharusi, Jun 23, 2012.

 1. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Kikwete amewaambia wananchi wasikubali kuuza ARDHI yoteee..kwa sababu watageuka kuwa Vibarua katika nchi yao.
  mbona hanasema hasicho kiamini..ninamashaka na M/kiti wangu wa Chama..yeye ndo anahubiri wawekezaji wapewe ardh....!
  Source gazet la NIPASHE -leo
  "Vox populi,Vox dei"
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dhaifu na msaulifuu
   
 3. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Soma agrarian laws za nchi yako, usiwe kama CDM/M4C people who are really good in one thang .... aping!

   
 4. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anakimbia lawama huyo, hataki baadaye alaumiwe!
   
 5. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Nisomee Basi..kama vimeandikwa tu..vinatusaidia nini watanzania..rejea Katiba ibara ya 9(Na vifungu vyake vyote)mfano Ibara 9(c)kwamba shughuli za serkali zinatekelezwa kwa njia ambazo zitahakikisha kwamba utajiri wa Taifa unaendelezwa,unahifadhiwa na unatumiwa kwa manufaa ya wananchi wote kwa jumla na pia kuzuia mtu mwingine kumnyonya mtu mwingine.ibara 9(i)kwamba matumizi ya utajiri wa taifa yanatilia mkazo maendeleo ya wananchi na hasa zaidi yanaelekezwa kwenye jitihada ya kuondosha umaskin,ujinga na maradhi.ibara ya 9(j)kwamba shughuli za uchumi haziendeshwi kwa njia zinazoweza kusabbsha ulimbikizaji wa mali au njia kuu za uchumi kaika mamlaka ya watu wachache binafsi.
  Maneno mazuri ila Jee Hali ndo ilivyo kama katiba inavyotaka..sumbua akili yako kufikilia kidogo..tazama hali halisi
   
 6. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mnyika alishamaliza kazi, kuwa mwenye nyumba ni.........
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako wewe uelewi wala usikii! Mnyika alikusaidia sana, bado unamshangaa huyo mwenyekiti wako!
   
 8. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  kuna ardhi ya vijiji, ardhi binafsi, ardhi ya serkali (pamoja na hifadhi za taifa), sasa wewe unazungumzia ardhi gani? Na rais anazungumzia ardhi gani?
  Serikali haiuzi ardhi, inakodisha.
   
 9. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  .
  "Inakodisha" ardhi miaka 99?! kweli? ... tena kwa Wawekezaji wa kutoka nje waje na Vibarua raia wa nje 4,000 na familia zao kwa kulima? ... baada ya hiyo miaka 99 watakuwa wamezaliana raia maskini wa nje wangapi? - au hujausikia huo uwekezaji?   
 10. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Sasa hiyo inahusiana vipi na wananchgi kuuza ardhi yao? Maana siku hizi kila mtu anajua zaidi ya rais, kila kitu asemacho rais ni vituko!!
  Dah mnaboa bana!
   
Loading...