Serikali ya Zanzibar wafikiria upya kuhusu ishu ya mafuta... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Zanzibar wafikiria upya kuhusu ishu ya mafuta...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rufiji, Jun 22, 2012.

 1. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  The Zanzibar government has said that the question of oil and natural gas cannot be removed from the list of union matters before proper legal procedures are followed.

  The clarification was given by State Minister in the Second Vice-President's Office Mohammed Aboud Mohammed when responding to a question by Old Stone Town constituency lawmaker Ismail Jusaa Ladhu in the House of Representatives on Wednesday.

  He said according to the Union constitution, oil and natural gas fall under union matters, adding however that a special committee was formed to look into problems facing the Union between Tanganyika and Zanzibar.

  "We all know that oil exploration falls within Union matters, therefore taking them out of the list would require special legal procedures," said Aboud.

  The minister said that former chief minister Shamsi Vuai Nahodha and Second Vice-President Seif Ali Iddi had on several occasions written to the Prime Minister asking that the matter be taken out of the Union list.

  He said the move was taken after the Revolutionary Council decided that it would be wise to remove oil and natural gas from the list, a move which was also supported by the House of Representatives.

  Minister Aboud said that at a joint meeting between the Zanzibar government and the Union government held on January 28, this year, under the chairmanship of union Vice-President Dr Mohammed Gharib Bilal, the issue was discussed whereby it was decided that a quick solution should be found to handle it.

  However, the minister said that through the constitutional review process, the wananchi and members of the House of Representatives would have the opportunity to express their views on problems facing the union.

  Earlier, Jussa had wanted to know measures the government had taken in order to remove oil and natural gas from the list of union matters since the House of Representatives had passed a resolution to that effect way back in 2009.

  http://ippmedia.com/frontend/index.php?l=42871

  My Take:

  These are now trying to play smart. They have realized that Bara has abundance of gas and oil, and Zanzibar doesn't have those deposits at all. Now, they are saying that the process of removing oil and gas from the union is complex and cumbersome. This is plainly preposterous!
   
 2. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Marufuku kuweka natural gas an oil ktk muungano coz walitunyanyasa baada ya kugundua mafuta kiduchu huko Zenji leo wameona bara kunaflow gas an oil wanajipendekeza, MARUFUKU ZENJI IBAKI ZENJI NA BARA TUBAKI NA BARA YETU
   
 3. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Natamani sana kama Mwenyezi Mungu angewajalia Wa-Zenji, japo kwa uchache tu, kuupitia uzi huu ili wajue jinsi ambavyo wa-Bara tunavyowanea huruma. Hawana kitu kabisa hawa jamaa zetu, tatizo upeo wao katika kulitambua hili ni mdogo sana.
   
 4. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ha ha ha inafurahisha sana wazanzibar they are very smart asikuambie mtu ni kweli kabisa kutokana na utafiti unaondelea ni kwamba upande wa zenji kuna mafuta kiduchu kiasi kwamba wakifungua visima vya mafuta huko itakuwa ni hasara ila bado utafiti unaendelea pande za bara oil and gas ipo ya kutosha sasa wameona wakijitoa tena kwenye suala la muungano itakula kwao kwenye kugawana rasilimali hizi.

  Ila ninavyoona serikali ya ccm inavyojipendekeza watalikubali hilo suala la kubaki kwenye muungano sisi tutapiga kelele ila wao watafanya kweli kwa kuliacha inauma.
   
 5. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Enhe, inatusaidia vipi hii unaweza kuorodhesha , umeme hakuna giza totoroooo!
   
 6. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu mafuta hayajaanza kuchimbwa utafiti unaendelea.
   
 7. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,568
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  The other day nlicomment hili, people didnt understand! Nilikuwa na data kwamba reserve ya oil n gas tngny ni world cla
   
 8. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Mbona unajichanganya, umesema mafuta na gas bwelele mara wanatafiti hawajaanza kuchimba , wewe una uhakika kuwa znz hakuna mafuta! yaani watu wangekuwa na walau akili wasingetaka hata tone la mafuta liwepo kwetu tutauliwa na hawa wamagharibi ! angalia bara arabu linavochemka sasa hivi kisa mafuta, na huyo alosema mafuta yatakauka anacheksha kweli!

  Ile ni zawadi waliyopewa waarabu kutoka kwa Mungu wasaidie waislamu wenzao, na laiti waarabu wangekuwa wanafanya jinsi Mola wao alivowajaalia hayo mafuta sidhani hata kama kuna kiumbe wa kiislamu angelala na njaa, lakini badala yake wanayafuja mafuta pesa wananunu timu za mipira, kualika wana muziki, kuweka na kukomba riba MWENYE EZ MUNGU NDIO ANAWAADHIBU SASA, ile ni adhabu wanayoipokea kwa kuyatumia mafuta ndivo sivyo na wasubiri mengi yataweakuta mpaka watie akili!
   
 9. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,568
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Nchi nyingine wanasema reselve ya mafuta tanganyika ni kbwa saana ila they dont show us! Znz hamna kitu kule!
   
 10. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Wacha kupotosha watu wewe ******* wapi huyo waziri aliposema kama ZNZ ina second thought. wao wameshatoa uamuzi wao kama inavyoonesha kwenye red hapo juu na kilichobakia ni bunge kuondosha kipengele cha mafuta ndani ya muungano...sasa unawalaumu vipi wazanzibari kama ni wanajifanya wajanja....
  Unajifanya msomi kumbe ni***** ********
   
 11. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  The Zanzibar government has said that the question of oil and natural gas cannot be removed from the list of union matters before proper legal procedures are followed.

  The clarification was given by State Minister in the Second Vice-President's Office Mohammed Aboud Mohammed when responding to a question by Old Stone Town constituency lawmaker Ismail Jusaa Ladhu in the House of Representatives on Wednesday.

  He said according to the Union constitution, oil and natural gas fall under union matters, adding however that a special committee was formed to look into problems facing the Union between Tanganyika and Zanzibar.

  “We all know that oil exploration falls within Union matters, therefore taking them out of the list would require special legal procedures," said Aboud.

  The minister said that former chief minister Shamsi Vuai Nahodha and Second Vice-President Seif Ali Iddi had on several occasions written to the Prime Minister asking that the matter be taken out of the Union list.

  He said the move was taken after the Revolutionary Council decided that it would be wise to remove oil and natural gas from the list, a move which was also supported by the House of Representatives.

  Minister Aboud said that at a joint meeting between the Zanzibar government and the Union government held on January 28, this year, under the chairmanship of union Vice-President Dr Mohammed Gharib Bilal, the issue was discussed whereby it was decided that a quick solution should be found to handle it.

  However, the minister said that through the constitutional review process, the wananchi and members of the House of Representatives would have the opportunity to express their views on problems facing the union.

  Earlier, Jussa had wanted to know measures the government had taken in order to remove oil and natural gas from the list of union matters since the House of Representatives had passed a resolution to that effect way back in 2009.
   
 12. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,220
  Likes Received: 7,340
  Trophy Points: 280
  Rufiji, I can't agree with you more!
  Slowly they are Retreating. it's too late to catch the train. LET ZBAR GO!
   
 13. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sasa watulie! Wasichome makanisa! La sivyo tunawa-prune!!
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  walivogundua mafuta yao si walisema si ya muungano? vip uamsho wamesitisha madai ya kuvunja muungano!?
   
 15. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Zanzibar is neglibly tiny compared to Tanganyika
   
 16. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Kizibao,

  I am not going to waste my precious time arguing with you; however, I would like to say that I don't understand why you have resorted to name calling. We can agree to disagree, but that doesn't give you the right to insult me. Back to the topic, my advice to you, try to figure out what the minister was trying to imply by his statement. Don't translate minister’s statement literally.
   
 17. m

  mzaire JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama mafuta na gas yalioko ni kama mfano wa kikombe cha kahawa haijalishi, tunachohitaji ni kutolewa ktk orodha ya mambo ya muungano.

  Msituzuge hata kama hakuna mafuta Zanzibar hamuwezi kututeka kimawazo kwa propaganda zenu Watanganyika.

  JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA upuuzi na propaganda zenu baadae.
   
 18. t

  thinka JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  zanzibar wabakie na mafuta yao na bara wabakie na yao kupata 3% ya madini ni funzo tosha sitashaangaa na mafuta wakipata 0.5%
   
 19. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama wazenj watabadili msimamo wao kwa propaganda hizi:(
   
 20. J

  JokaKuu Platinum Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Mzaire,

  ..suala hili ilitakiwa livaliwe njuga na wabunge wa CUF walioko ktk bunge la muungano.

  ..sijui kwanini Ismail Jussa hakupeleka hoja kuhusu suala hili wakati alipoteuliwa mbunge ktk bunge la muungano.

  ..masuala ya Muungano yanashughulikiwa na Ofisi ya makamu wa Raisi ambaye ni Mzanzibari, pia waziri wa wizara ya masuala ya muungano ni Mzanzibari. sasa kwanini hawa hawatatui hizi kero za Zanzibar?
   
Loading...