Wafadhili tumewakabidhi rasilimali na afya zetu-tutegemee nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafadhili tumewakabidhi rasilimali na afya zetu-tutegemee nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KOMBAJR, Jun 23, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wanabodi ni wakati muhafaka kuwa kujadili mustakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo katika kile kinachoonekana kuweka maisha yetu rehani kwao.Tulikataa ukoloni tukawafukuza lakini sasa tunawafuata waje kuwekeza tumewapa aridhi,maliasili,madini na vingine vingi mbaya zaidi kwasababu ya umasikini wetu na tech kuwa chini madawa yote yanatoka kwao hata matone ya vitamin A kwa watoto!kuna story nilipata kusikia zamani kuwa hawa jamaa wanatafuta njia ya kutufix coz tunazaliana na kuongezeka kwa kasi ya light!Napata kujiuliza maswali mengi sana kuhusu mwenendo huu kama wakihamua kuweka kemikali ambayo Tbs/Tfda hawawezi ona kutokana na dhana dhaifu na ukichukulia huu ni msaada je tutapona kweli?tumeshawahi kulifikiria hili?kuna msemo unasema no free lunch lakini ukienda mbele zaidi unajiuliza hivi hawa wanaoitwa wafadhili wanaupendo wa dhati na sisi kweli au wanalao jambo?
  Nawasilisha wanabodi tujadili.......wakati tukimpa pole Naibu waziri(simbachawene) kwa yaliyomkuta.
   
Loading...