Nape akubali ccm ni dhaifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape akubali ccm ni dhaifu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jun 21, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]:yawn:
   
 2. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Atakuja na atakujibu msubiri tu
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nape mwenyewe ni dhofu bin hal.
   
 4. k

  kakini Senior Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM wote mlenda
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  yaani ukisema Nape ni zaid ya mdhooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooofuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Urooooooooooooooooojoooooooooooooooooooooooooooo
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Anakuja kuwaita oil chafu au vinyago
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  hii siyo ya jukwaa la siasa
   
 8. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 9. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,230
  Trophy Points: 280
  ccm ni dhaifu, jk ni dhaifu halikadhalika nape. Nape hana uwezo wa kujitoa kwny hali ya udhaifu alyonayo.
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Nape nae ni dhaifu.alisha kubali muda sana.
   
 11. M

  Masabaja Senior Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nape ni Gamba zito na dhaifu ndiyo maana dhifu mwenzie JK wanaiva maana wana sifa sawa
   
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Anabembeleza vizuri!
   
 13. H

  Honey K JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Msipomtaja Nape hamlali
   
 14. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  nape mzee wa per diem za safari za kukinadi chama!
   
 15. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kiongozi kukutaja ni muhimu, uwezi kwenda kumuomba mungu akusaidie,na akuepushe na majanga ukaacha kumtaja shetani.kumbuka wewe ni msemaji wa wadhaifu lazima tukutaje,tutakuacha endapo utastafu cheo chochote ndani ya wadhaifu kama tulivyo muacha kiboko yako yusufu makamba
   
 16. U

  Udaa JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Udhaufu wako ni pamoja na kushindwa kuhakikisha mafisadi kujivua gamba.
   
 17. U

  Udaa JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dogo komaa nawo,huyo ni janga la taifa asikurubuni.
   
 18. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kwa maoni yangu nape na chama chake ni maiti iliyobaki najoto wenyewe magamba wakiigusa wanaamini itaamka au bado imezima tu itaamka soon, kwishaaah, nakwamwendo huu nitaenda kujibu hoja za hao mashehe njaa kusini, namimi ni mkusini na pia muislam waache kufuta nyayo zetu.
   
 19. B

  Bob G JF Bronze Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mi sikutaji ili nilale kwa kukuambia kwamba wewe ccm ni dhaifu mno, tena kwako wewe umeshindwa hata kukidhi matarajio ya wana ccm, Umejiingiza kwenye sihasa za Maji taka kijana ulietakiwa kufikiria zaidi kwa kuona utakuwepo kwenye Game ya sihasa muda mrefu, Ni aibu kwako na kwa ccm yote
   
 20. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kwa kuwa wewe ni dhaifu ndio maana tunakutaja.
   
Loading...