Wagonjwa waanza kuhamishwa Muhimbili

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source ITV

Ni dalili za mgomo baridi na ukweli kuwa huduma zimezembea na serikali yatishia atakaye goma kushitakiwa na hakuna ruhusa ya kufanya mikutano na mikutano yote ni haramu
 
kuna mama kanifurahisha anafananisha ma daktari na boko haram...hahaaaaa si kuna madaktari wa jeshi Pinda atawaleta msiwe na hofu watanzania.
 
Source
ITV

Ni dalili za mgomo baridi na ukweli kuwa huduma zimezembea na serikali
yatishia atakaye goma kushitakiwa na hakuna ruhusa ya kufanya mikutano
na mikutano yote ni haramu

watanzania tuwaunge mkono madaktari dhidi ya serikali dhaifu ya
ccm......haya sio mambo ya kutishia watu ni mambo ya kuwaopa haki
yao,kimsingi madai ya madaktari ni yanatekelezeka,iweje mbunge alipwe
10m kwa mwezi afu washindwe kutimiza madai ya watendaji muhimu kama
hawa,
 
Back
Top Bottom