Simbachawene ndani ya baraza la Mawaziri!!

Kassim Awadh

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
884
187
Taarifa under the carpet ni kwamba mbunge wa Kibakwe Simbachawene ameingia kwenye baraza jipya la mawaziri litakalotangazwa muda c mrefu!
 
Wakuu!

Kweli mna moyo wa chuma. Hivi ni nani msafi ndani ya Chama Cha Mafisadi kiasi kwamba mna matumaini makubwa kiasi hiki?

Huyo mteuaji mwenyewe anashindwa amuweke nani maana akiaangalia wote ni wale wale. Kwamba ana fanana nao!!!!!!!!!!!
 
Jamani hizi Swaga za baraza zitaisha lini? kwa nini msiache likatangazwa kuna haraka gani??
 
Mhhhhh, sidhani kama anaweza kuteua mawaziri wawili toka Mpwapwa, au mie ndo nachemka kuwa naibu waziri wa fedha pia anatoka mpwapwa!
 
Huyu kamanda namkubali. Wacha tu nitose shilingi yangu hapo.

Siyo mzuri kihivyo. Hataweza kwenda nje ya mfumo uliopo, ambao ndo kikwazo. Zaidi anapenda kujipendekeza na kujikweza. Ulisikia mchango wake katika mjadala wa mswada wa katiba mpya?
 
Mhhhhh, sidhani kama anaweza kuteua mawaziri wawili toka Mpwapwa, au mie ndo nachemka kuwa naibu waziri wa fedha pia anatoka mpwapwa!

Waziri wa Posho M. Mkullo ni kutoka Kilosa Morogoro

Hakuna msafi katika CCM

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Huyu huyu kwa kauli yake alisema ni kheri raia wafe kuliko polisi kujeruhiwa au kufa!
Akimaanisha raia kupigwa risasi ni sawa tuu
Nakumbuka aliposema hayo na miwan yake usoni
Huyu huyu leo awe waziri kazi tunayo
 
Huyu kamanda namkubali. Wacha tu nitose shilingi yangu hapo.
Huyu tunacheza naye Pool, akipewa wizara yenye utamu basi Matola na mimi ni heri nijiunge na kundi la wahujumu uchumi, siwezi kutoka kapa huyu jamaa akipata Wizara tamu.

Maana kilichobakia sasa hivi ni kugawana kwanza kilichopo otherwise utajikuta kila siku wewe watoto wako ndio wanarudishwa nyumbani kwa sababu hujalipa school fees.
 
cv yake vipi .mkumbuke utendaji si ujanja wa kuunganisha herufi za kiswahili ila ni weledi wa uongozi. sasa kama kaishia ftc ataongozaje wizara huyu. sasa watu hawatosoma tena . maana ukiwa na cheti tu tayri waziri. inakera na kukatisha tamaa
 
Mkuu hiyo sikuisoma
Huyu huyu kwa kauli yake alisema ni kheri raia wafe kuliko polisi kujeruhiwa au kufa!
Akimaanisha raia kupigwa risasi ni sawa tuu
Nakumbuka aliposema hayo na miwan yake usoni
Huyu huyu leo awe waziri kazi tunayo
 
Wakuu!

Kweli mna moyo wa chuma. Hivi ni nani msafi ndani ya Chama Cha Mafisadi kiasi kwamba mna matumaini makubwa kiasi hiki?

Huyo mteuaji mwenyewe anashindwa amuweke nani maana akiaangalia wote ni wale wale. Kwamba ana fanana nao!!!!!!!!!!!

Pamoja na kwamba CCM imeoza kwa ufisadi na wizi wa mali za umma bado kuna wachache ni wasafi. Hata hivyo, tatizo kubwa ni JK mwenyewe. JK ni fisadi na mwizi wa mali za umma, kwahiyo hata baraza la mawaziri libadilishwe mara mia halitakuwa effective kwasababu kikwazo ni JK mwenyewe. Anatakiwa kubadilika kwanza yeye ndio mawaziri wataogopa! Nchi gani hii kila kukicha tunaongelea utendaji mbovu wa baraza la mawaziri? To me, Kikwete ndio anapaswa kuona aibu kwa mabadiliko ya mara kwa mara ya baraza la mawaziri kwa kuwa ni yeye aliyewateua. TISS nao hawamsaidii kabisa JK, badala ya kufanya kazi zao kwa weledi wanajiingiza kwenye siasa za makundi za CCM, hawa nao inabidi awaangilie kama anataka kuwa na serikali imara!!
 
Japo si wa itikadi yangu, pamoja na kwamba alipa four ya 28 Olevel Namkubali sana. Amewapita hata magamba wenye degree
Jamaa yuko Udom anaongeza Elimu, kutokana CCM kuwa na Wabunge wengi Vilaza huyu anafaa kupewa Uwaziri, sisemi hivi kwa sababu ya kufahamiana naye ila jamaa ni Gentleman ambaye akipewa fursa anaweza kulitumikia Taifa, nadhani hata akiwaga Mwenyekiti wa Bunge huwa anamzidi hata Spika Makinda kwa kuliendesha Bunge.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom