Mzee Wassira shule yako dawa tosha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Honey K, Jun 22, 2012.

 1. H

  Honey K JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013.

  Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!

  Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
   
 2. m

  mzee wa wazee Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape nasikitika kwa cheo chako hiki ndicho unachoweza kuandika, inasikitisha and it also show how not serious you are.Please stay away kwenye hii mitandao ya jamii nafikiri una namna bora ya kutoa maoni yako than what you have just done.Kama mwana CCM inanisikitisha
   
 3. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kutukanwa unapenda eti?
   
 4. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  wewe NAPE ni gamba
   
 5. s

  simon james JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna jipya Nape! Wenzio wanakutumia kukuua kisiasa. Jiulize yuko wap makamba.
   
 6. H

  Honey K JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa nakufa kisiasa msingesema, mngenyamaza kimya nife vizuri...... Nikifa nakufa mimi kulikoni kikuume wewe?!!!!!
   
 7. H

  Honey K JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kinachokusikitisha ni nini?, ka sio nafiki?!!!!!
   
 8. h

  hans79 JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Huna jipya zaidi ya kutumia njaa ilokujaaa
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...It is so Sad kuona Vijana ambao tulitegemea ndio wawe Chachu ya Kuzaliwa Upya kwa Taifa letu ndio Kwanzaa wao wanavaa magamba ya Ukale...! Sooo, so Sad!
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nape kwa hesham zote ningependa nikusihi kwa moyo wa dhati kabisa utuepushe na balaa la siasa zinazotugawa wananchi. Madhara ya siasa hizi ni kuleta vurugu ndani ya familia zetu na hili historia haitakusemehe. Mara nyingi mtu anayesikiliza huwa anakumbuka zaidi kuliko yule aliyoongea, na hapa nataka nikuambie, jitahidi uachane na siasa za kugawa wanafamilia ndani ya nchi. Kauli zako zinastua sana hasa kwa mtu wa umri wako maana umezaliwa na wakati watanzania wa dini, kabila tofauti wameoana, wamekuwa kitu kimoja. Sasa umetoa wapi siasa hizi?

  Hata kama mtu mwingine anafanya, wewe kwa nafsi yako unalo jukumu la kukataa lakini kwa mshangao wewe umeamua kuungana na upande huo hatari. Ningependa kuona unabadilisha tabia ya kuongea siasa za kugawa wananchi na badala yake ongea mambo ya kutupeleka mbele.
   
 11. Nyahende Thomas

  Nyahende Thomas Verified User

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nnauye Jr hapo kwenye nyekundu ndipo ulipojiharibia ujumbe unaokusudia kuufikisha.
  Kama kiongozi mkubwa ndani ya chama chako ni lazima ujiamini. Kutukanwa, kudhihakiwa, kubezwa na kusifiwa ni vitu ambavyo havikwepeki kwa mwanasiasa yeyote.

  Sasa unapoonyesha uwoga kiasi hicho unawanyong'onyeza wafuasi wako binafsi pamoja na wafuasi wa chama chako. Mimi sio mfuasi wa chama chako lakini sipendi tabia ya uoga uoga kama hii unayoonyesha hapa. Otherwise utakuwa huna uhakika na unachokiwakilisha hapa kwahiyo unaamini kwamba utatukanwa kwakuwa umeleta habari ya uongo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. h

  hans79 JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Ukae ukielewa muungano upo rehani,maneno ya kwenye kanga hapa si pahala pake.Ugumu wa maisha tz umesababishwa na watu kama nyie wenye kujali matumbo yao nyongeza watu dhaifu kama nyie.Upuuzi mtupu hakuna aloongea huyo mwenye njaa mwenzako steven, zaidi ya kufurahia taifa la ombaomba. Lakini yana mwisho nyie wazembe kuujua ukweli.
   
 13. h

  hans79 JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Acha kudekadeka toto la kiume.
   
 14. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  I am very sorry about you Nape!

  But I am sure time will tell and you will remember your words and regret. You should understand this is world and one day you will leave it and go somewhere which you will never or see all these problems we are facing now and then! But you will be asked by the one what did you do when I selected you to present all Tanzanians?

  No one will die and go to the heaven with these money, good clothes, good house whichever! For this short time we have been given by our ALMIGHT GOD to live in this world with a lot problems (especially Tanzania) try to do the best you can for all WANYONGE Nape. I am telling there are a lot of people who are suffering because of your leadership, especially women and small children.

  One day you will pay back all! How and when don't ask BUT GOD is watching you believe me or not. This is a massage for you especially for this weekend, stay somewhere and ask your self I am doing all these and then what?
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Nani kawaambia huyu ni nape mumjuae?mnachotwa akili tu hapa.
   
 16. G

  Gizakuu Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njaa iwe na Nape?!!!!!!!hovyooooooooooooo
   
 17. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mkuu Nape, heshima kwako. Mwalimu mzuri ni yule anayefanikisha kubadili uwezo wa kufikiri kwa walengwa wake na sio anaye wafanya walengwa wa mchukie kwa kuwa anachokieleza ni cha uongo na kipo kwa ajili ya kutetea maslahi ya baadhi ya watu. Moyoni mwako mwenyewe unajua fika kuwa bajeti hii haitekelezeki kabisa.

  Pitia hata idara chache tu za serikali uone kama fedha iliyopangwa kwenye idara hizo mwaka unaoisha ilifika? Mnawalaumu watumishi ati wanasoma tu magazeti ofisini, watafanya kazi zipi bila vitendea kazi? Mahakama za mwanzo hazina karatasi, magari mengi yamekwama kwa kukosa matengenezo........., ukiuliza utaambiwa fedha ya bajeti haikupelekwa.

  Ajabu unamsifia mzee wako aliyetumia muda mwingi kuimba nyimbo zilezile za kubembelezea watoto walale usingizi! poleni sana watanzania wenzangu.
   
 18. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Lakini kwanini vijana wasomi kama wewe msituokoe sisi masikini, taifa letu? Njaa zenu, na tamaa mlizonazo na sifa mnazotaka kwa nguvu ndo zinatupa wasiwasi sisi vijana. Kinachotuuma zaidi sisi ambao hatuko kwenye sisitimu tutaendelea kuwa masikini zaidi na watoto wetu watarithi umasikini wetu maana kile tunachojaribu kuserve mnatunyang'anya.

  Ccm imishakuwa taasisi ya wenye nacho na wenye uroho hata wa kuua ili wapate, kijana kama wewe unatumiwa, na unajua kabisa, ila njaa zako zinakufanya unashabikia kila kitu . Hivi kwa akili yako unajua wasira ana miaka mingapi bungeni? Ameifanyia nini bunda? Tanzania?......

  Acha kushabikia ujinga kama huu,welevu tunakuona kama huna akili kabisa.
   
 19. G

  Gizakuu Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape has said, INAWAUMA NINI KULIPA ATALIPA YEYE, KIFO CHA KISIASA ATAKUFA YEYE KINAKUWASHIA NINI?!!!!
   
 20. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Silly session, silly party, silly propaganda.....is that coincident?
  Chama dhaifu, Serikali legelege, Rais dhaifu..........is that tusi?

  Any way Nape, you're at work here and now while most of us are not! You're trying to justify your fat pocket while we're only patriotic, vigillant and unmoved citizens standing for the good of Tz. In short our contrasts are irreconcilable and therefore knows no end.
   
Loading...