Mkaguzi wa vyama vya siasa kukaguavyama

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
Msajili wa vyama vya siasa amesema atafanya ukaguzi wa vyama vya siasa hasa vile ambavyo vipo na havifanyi siasa vinasubiri kipindi cha uchaguzi mkuu ndipo hujitutumua

amesema ikiwezekana atavifuta maana haviwasadii Watanzania kutoa elimu ya uraia

source Chanel ten HABARI

my take HONGERA KWA HILI WAZO
 
Acha kupotosha umma. Hakuna mkaguzi wa vyama vya siasa. kuna msajili wa vyama vya siasa. Tafadhali rekebisha heading.
 
Back
Top Bottom