Sisi ni walimu wa ajira mpya 2012 manispaa ya Kinondoni. Wakati tunaanza kazi Februari na kama ulivo utaratibu (standing order), tuliambiwa tuandae documents za kulipwa hela ya nauli, mizigo na wategemezi. Cha ajabu na kweli, tumejibiwa na afisa Elimu, tene anaye kaimu kuwa hatutalipwa hela hizo. Tutapata fadhila ya nauli tu endapo hazina itatoa hela. Sasa sijajua kama ni janja ya Kinondoni au ni Serikali. Sisi tuliomba hela kwa Mkurugenzi tukajibiwa na Afisa Elimu. Ebu naombeni root wana jf. Nimembatanisha barua tuyojibiwa.