Kuhusu Waziri mkuu kujiuzulu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu Waziri mkuu kujiuzulu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Emma., Jun 29, 2012.

 1. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Maji yameshafika shingoni cha msingi jiuzuru achia line utaheshimika milele kuliko kuendelea kujithalilisha bungeni
   
 2. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwanini watu hamuanzishi topic za maana, au ni Filamu/ndoto unayofikiria. Kwa Africa especially TZ hajiuzulu mtu
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  we EMMA kauli hiyo si nzuri waziri mkuu anakuheshimu sana.
   
Loading...