Ahadi za JK na Suala la Muungano Lashika kasi ndani ya Bunge

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Bado nawaona wabunge wengi wakiendelea kuikumbushia serikali kuhusu utekelezaji wa ahadi alizotoa JK wakati ule wa uchaguzi mkuu. Kwa upande mwingine wabunge wengi wa Zanzibar wameendelea kuihoji serikali pamoja na kuonesha kutoridhishwa na hatua za utatuaji kero za muungano.
Hata hivyo kuna idadi ya kutosha ya wabunge waliokuwa wakihoji suala la mahakama ya kadhi pia.
 
Mahakama ya kadhi wamesharuhusiwa mbona hao jamaa wagumu sana kuelewa? Si waliambiwa waanzishe kwa gharama zao na mtukufu dr jk? Tatizo wamezoea dezodezo kama bakwata inaendeshwa serikali,watafute wafadhili basi waanzishe hizo mahakama za kupopoana mawe na kukatana mikono tuone
 
Mahakama ya kadhi wamesharuhusiwa mbona hao jamaa wagumu sana kuelewa?...Tatizo wamezoea dezodezo ....watafute wafadhili basi waanzishe hizo mahakama za kupopoana mawe na kukatana mikono tuone

Kila siku wanatoa sababu eti mahakama hizo zita deal na mambo ya ndoa! Hivi kuoana ndo wameona deal la kutafutia hela za kujilipa? Wachangishane pesa kisha waanzishe mahakama kama walivyo jenga misikiti.

Huenda kuna agenda za ki-Boko Haramu tofauti na tunavyofikiri!
 
Mahakama ya kadhi nayo wanataka waanzishiwe na serikali? kweli utumwa wa mawazo mbaya!!!!!
 
Mahakama ya kadhi wamesharuhusiwa mbona hao jamaa wagumu sana kuelewa? Si waliambiwa waanzishe kwa gharama zao na mtukufu dr jk? Tatizo wamezoea dezodezo kama bakwata inaendeshwa serikali,watafute wafadhili basi waanzishe hizo mahakama za kupopoana mawe na kukatana mikono tuone

acha chuki na kejeli zako.Shughulikia lako.
 
Kila siku wanatoa sababu eti mahakama hizo zita deal na mambo ya ndoa! Hivi kuoana ndo wameona deal la kutafutia hela za kujilipa? Wachangishane pesa kisha waanzishe mahakama kama walivyo jenga misikiti.

Huenda kuna agenda za ki-Boko Haramu tofauti na tunavyofikiri!

acha chuki zako dugu yangu.
 
Kila siku wanatoa sababu eti mahakama hizo zita deal na mambo ya ndoa! Hivi kuoana ndo wameona deal la kutafutia hela za kujilipa? Wachangishane pesa kisha waanzishe mahakama kama walivyo jenga misikiti.

Huenda kuna agenda za ki-Boko Haramu tofauti na tunavyofikiri!

Yaani maswala ya ndoa ndiyo yanayofanya mahakama ya kadhi ipiganiwe hivyo?? Hiv kama mimi ni mwislamu mke wangu akanipleka kwenye hiyo mahakama then nikaamua kuhama dini.......... watanilazimisha au watanihukumu kwa sheria ipi?? Naona hii kitu ya kadhi inafaa Sudan na Iran!!
 
Mahakama ya kadhi wamesharuhusiwa mbona hao jamaa wagumu sana kuelewa? Si waliambiwa waanzishe kwa gharama zao na mtukufu dr jk? Tatizo wamezoea dezodezo kama bakwata inaendeshwa serikali,watafute wafadhili basi waanzishe hizo mahakama za kupopoana mawe na kukatana mikono tuone

Wakumbuke pia kujenga hospitali zao kutibu hayo majeraha ya mikono.

Hututaki watuongeze unnecessary patients katika hospitali zetu, maana bado tuhangaika na communicable diseases kama Malaria, HIV/AIDS, typhoid, cholera etc
 
Wachangiaji wengi inaonekana hamuelewi nini waislam wanataka. Kwa ufahamu wangu mdogo tu kwa watu wanaoamini inamaana ndoa kwa waislam ni masuala ya kiimani yenye taratibu na sheria ya imani ya mtu anayoiamini, inawezekana mkristo kuwahukumu wanandoa waislam? Kama mnavyofanya huko bara, ndio maana waislam wanadai mahakama hiyo ili iwe na nguvu za kisheria na kutambulika kisheria. Tatizo ni mfumo kristo wenu huko bara, tena ktk hili hamna sbb za msingi, Kenya Uganda Zanzibar kote zipo, ila kwenu mfumo krito hautaki.
 
Kila siku wanatoa sababu eti mahakama hizo zita deal na mambo ya ndoa! Hivi kuoana ndo wameona deal la kutafutia hela za kujilipa? Wachangishane pesa kisha waanzishe mahakama kama walivyo jenga misikiti.

Huenda kuna agenda za ki-Boko Haramu tofauti na tunavyofikiri!

Mimi nafikiri WaTanganyika mfike pahala mkubaliane na kuona wote mpo sawa kwa kila jambo na mna haki sawa kabisa katika kula keki ya uhuru wa Taifa lenu.

Waislam wamekuwa wavumilivu na kuona kunakuwa na MOU ya Kanisa na Serikali ilifungwa mwaka 1992 na Fisadi EL. Kila mwaka makanisa yenu yanapata Billioni 60 na sasa hivi yanapata Billioni 91 kila mwaka. .

Toka 1992- 2011 ni miaka 19= 60,000,000,000 x 18 + 91,000,000,000= Trilioni 1.17 or Trilioni 1.2. Kutoka katika kodi za WATANZANIA.

Huo ni wizi na ufisadi .Mbona hamuwaambii pesa za waislamu ziko wapi zirudishwe serikalini. Kwa mtizamo wangu Ufisadi huu ni mkubwa kuliko EPA.

HIVI WAISLAM MKOJE.. Hujui kuwa SERIKALI ndo iliomba Makanisa ili itumie Mashule ya Makanisa kwa Ajili ya Watanzania wote

Na Serikali ikasema Watachangia Kwa ajili ya Huduma hizo za Elimu na Afya.. Makanisa yanaweza kujiendesha Yenyewe Bila Serikali. Ila kwa Vile serikali haijajenga Mashule ya Kutosha Ikaomba Msaada Kwa Wakristo.

WAISLAM HAMJAJENGA KITU. Serikali haijaona Faida mnayoleta kwa ajili ya Watanzania.
 
Wachangiaji wengi inaonekana hamuelewi nini waislam wanataka. Kwa ufahamu wangu mdogo tu kwa watu wanaoamini inamaana ndoa kwa waislam ni masuala ya kiimani yenye taratibu na sheria ya imani ya mtu anayoiamini, inawezekana mkristo kuwahukumu wanandoa waislam? Kama mnavyofanya huko bara, ndio maana waislam wanadai mahakama hiyo ili iwe na nguvu za kisheria na kutambulika kisheria. Tatizo ni mfumo kristo wenu huko bara, tena ktk hili hamna sbb za msingi, Kenya Uganda Zanzibar kote zipo, ila kwenu mfumo krito hautaki.

Baba mwanaasha si aliwaambia waanzishe mbona mgumu kuelewa?
 
Mpo busy kukashifiana kwa udini wenu huku nchi inazidi kudidimizwa na wanasiasa uchwara. Na wanasiasa wamefanikiwa sana kuwagawa kwa kutumia vitu vidogovidogo visivyo na maana yeyote.
Jadilini mambo kwa fikra pana na muache vijembe vya kidini, kikabila au kikanda. Wekeni maslahi ya Taifa mbele:
Siku hizi utasikia watu wanagawanywa kwa criteria za kipuuzi sana: huyu ni muislamu/ mkristo, huyu anatokea kusini, huyu ni chadema/CCM/ CUF, huyu kaoa ukoo wa Kikwete, mara huyu ni zanzibar ......yaani mambo ya kipuuzi tu huku wezi wanaendelea kuiba rasilimali
 
Back
Top Bottom