Sababu ya hali tete ya nchi na maisha ya wananchi kwenye sekta ya afya ni udhaifu wa serikali na uzembe wa bunge. Rais Jakaya Kikwete ajitokeze alitangazie taifa kuunda tume huru ya kuchunguza...
Kwanza nianze kuwapongeza madaktari kwa kazi nzuri waliyoianza. Ni wazi kuwa kazii hii ikifanikiwa vyema itaokoa maisha ya watanzania wengi ambao hawana fedha za kutibiwa Apolo. Anayeona kuwa...
Sababu ya hali tete ya nchi na maisha ya wananchi kwenye sekta ya afya ni udhaifu wa serikali na uzembe wa bunge. Rais Jakaya Kikwete ajitokeze alitangazie taifa kuunda tume huru ya kuchunguza...
Ukifuatilia mijadala ya bunge kuhusu bajeti ya serikali na hoja ya waziri mkuu utagundua kuwa miradi mingi iliyopangwa miaka mitatu iliyopita ama haijatekelezwa au haijaanza kabisa!
Ushauri wangu...
Hofu yangu ni hiyo, pengine serikali ilituondoa kidogo kwenye kashfa yao kuu iliyoibuka siku wakati mgomo wa madokta unatokota.
Hawa mafisadi sita vigogo wa serikali tayari wameuza gesi yetu...
Niweke kumbukumbu sahihi kwamba siungi wala sitetei ufisadi.Lkn kwa mizengwe ya Mizengo Pinda bora Lowasa alikuwa na ujasiri,uwezo,na kauli ya kimamlaka juu ya mambo mbalimbali ktk nchi.
Rais Jk amemuhamisha kituo cha kazi mkuu wa wilaya ya Igunga Fatma Kimario kwenda kisarawe pwani.
Chanzo cha habari kinasema mama huyo amehamishwa kimya kimya hii inatlokana na mama huyo...
ASEMA ATAANIKA KILA KITU BAADAYE, ASEMA ACHWE APUMZIKE, MKUU WA JOPO LA MADAKTARI WANAOMTIBU ASEMA ALING'OLEWA KUCHA, MENO MAWILI NA KUPATA MTIKISIKO WA UBONGO
Geofrey Nyang'oro
MWENYEKITI wa...
Kama demokrasia ndiyo hii basi nachelea kusema imevuka mipaka na kukoma zaidi hata ya nchi za magharibi.Hali hii imejitokeza siku ya Jumapili ya tarehe 24/06/2012 mkoani Shinyanga kata ya Masekelo...
Hivi hao madaktari wameshaomba au wameweka awepo wakili aandike vithibitisho kutoka kwa dr na hata kurekodi kauli zake.
Nawapa hongera madaktari waliojumuika na kuonyesha fani zao katika kuokoa...
Leo asubuhi ktk kipindi cha "Tuongee Asubuhi" kinacho rushwa na StarTv Mh. Mkosamali amekaririwa akisema kuwa sababu kubwa ya kutokutekelezeka kwa Ahadi walizoahidiwa wananchi "UDHAIFU WA UONGOZI...
MBUNGE wa Micheweni, Haji Khatib Kai (CUF), amesema kuwa mbio za Mwenge wa Uhuru zimekuwa zikilalamikiwa kwamba zinachochea vitendo vya zinaa kwenye vituo unavyopiga kambi.
"Mheshimiwa Spika...
Tangu mgomo wa madaktari uanze kumekuwa na maoni mengi, na hata matukio mengi. Moja kati ya hayo ni serikali kwenda mahakamani. Na kwa kufanya hivyo suala hili limeshindikana kujadiliwa bungeni...
Siamini kuwa chama kilicho shawishi wananchi na kusaini mkataba wa kuongoza nchi hii kwa lengo la kuleta maendeleo na kutoa huduma muhimu ikiwa ni pamoja na afya. Leo hii huduma hii naikosa...
Waziri alivyojipa mgodi wa Kiwira
Thursday, 28 June 2012 20:24
Mwandishi Wetu
Mwananchi
SIRI zaidi za ufisadi katika mchakato wa kumiliki mgodi wa makaa ya mawe Kiwira mkoani...
Bila kujali muhusika katika unyama aliofanyiwa Dr.Ulimboka, napenda ibuniwe namna ya kumuenzi Dr.Ulimboka ili abakie kwenye Historia ya upiganiaji wa Mazingira bora ya Afya kwa watanzania. Sina...
Siku zote majambazi wa kawaida hutumia namba za bandia kwenda kufanyia uhalifu, kwani wakitumia gari bila namba, basi hata askari (Patrol) wasio na shaka watashtuka. Kwa hiyo waliomteka Dr...
Mungu katuumba tofauti sana,nani kati yenu anaweza kuvaa viatu vya doctor ulimboka?Ni wakati wa kutafakari kuwa siku ulimboka akitoka kitandani moi kwenda kwake atakuta ukombozi ambao amepigania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.