Mwenye ratiba ya tume ya katiba ya kukusanya maoni, naomba downloadable version hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye ratiba ya tume ya katiba ya kukusanya maoni, naomba downloadable version hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Curriculum Specialist, Jun 29, 2012.

 1. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nisaidieni kupata hii ratiba, PDF file preferably, nahitaji kuwajuza watu wangu Jimboni wajiandae kutoa maoni yao.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ingia hapo kwenye link ndugu yangu utaikuta ratiba lakini ya mikoa minane ya mwanzo tu, pia kuna vipeperushi mbalimbali vitawasaidia hao ndugu zetu unaohitaji kuwatumia. Tume ya Mabadiliko ya Katiba
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,694
  Likes Received: 12,745
  Trophy Points: 280
  dr anaendelea vizuri!
  Hachana na tume ya walaji na wachakachuaji.
   
Loading...