Nchi za Magharibi zinachochea migomo na vurugu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi za Magharibi zinachochea migomo na vurugu Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Don Draper, Jun 28, 2012.

 1. D

  Don Draper Senior Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama walivyofanya na Arab SPRING sasa wanataka kutuletea African SUMMER. Sasa inavyoonekana Tanzania is not immune from this nonsense. Hakuna anayekataa mabadiliko lakini haya mambo ya kuchochea migomo na vurugu sidhali kuna serikali yoyote ile duniani (including hizo za magharibi) zitakubali.

  Nashauri kuwa wanaotaka mabadiliko na wanaotaka kugoma wakae mezani na serikali na wajadiliane lakini pia wasikubali kutumiwa kuleta vurugu ndani ya nchi. Serkali naishauri ijaribu kuyamaliza haya mambo kwa amani ikishindikana ivunje mikataba yake na hawa waalimu na madaktari na iajiri wengine wapya baada ya kukubaliana terms.

  Serikali nayo iwe wazi kueleza wazi kwa wananchi mazuri na mambo ambayo ishafanya kurekebisha hali maana inavyoonekana kuna one side of the story inayoelezwa na wanao clam kuwa wao ni victims.

  Serikali nayo iwe wazi kuwapa ukweli hizi nchi za magharibu na kuzitaja na hizo civil service organisations ambazo zinasponsor hizi vurugu.
   
 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Kabla ujalaumu Nchi za magharibi, waulize walokutuma haya
  1. Wao wake zao wanajifunguliaga wapi? Sisi wakwetu ni majumbani, njiani na kwenye wodi za msongomanao.

  2. Waulize watoto zao wanasomaga wapi? Sisi wa kwetu hata wenye div 3 kidato cha siku mwaka huu hawawezi jiungaga kwa tcu, mkopo hawapatagi, Primary na sekondari vitabu tabu, maabara hakuna na walim hawalipwi poa sana.

  3. Waulize wanatibiwa wapi? Sisi dawa, gloves tunanunua nje, na kukiwa na mgao no upasuaji, kama ni kansa mpaka tuje Dar. Na uhakika wa kupona ni mdogo.


  Waambie hayo ni machache kuna Ajira, Mashamba, Bei za Bidhaa, Kodi, Starehe etc.

  Usimlaumu Shetani kwa Tamaa zako za mwili.
  Usiwabebeshe magharibi mzigo wa Serikali yako dhaifu.

  Liwalo Na Liwe
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Huyu ni wa kumuacha tu, naona ndio vijana wa kazi, anataga thread kama malkia wa kumbikumbi. Leta hata credible theory.
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Tusitafute mchawi bure wakati iko wazi kabisa kwamba ulegelege na udhaifu wa serikali yetu ndiyo kichocheo cha migomo katika sekta mbali mbali. Ni vizuri tume ya uchaguzi ipate fundisho kwamba kuwachagulia wananchi kiongozi matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona sasa.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Arguments za wenye akili huwa na ushahidi. Huku ni kubwata, na we should feel shame of our dirty words sometimes.
  Watu wanadai haki zao ambazo zipo kimaandishi, pia wanadai kuboreshwa kwa vifaa vya kutendea kazi, matokeo yake mnakuja wanapropaganda na kuzusha vitu baseless.
  Nincompoop! Wewe ni agent wa mfumo wa kibeberu na dawa ya watu wa aina yako ni KUNYONGWA.
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Maumivu ya tumbo huanza taratibu! Maumivu yakizidi mwone daktari kabla hujachafua mazingira
   
 7. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Magamba's idea!

  Watu wakilalamika kuhusu ugumu wa maisha wametumwa na CHADEMA, Wafanyakazi wakigoma sehemu zao za kazi wametumwa na WAPINZANI, Madaktari wakigoma wanachochewa na nchi za Magharibi. Huu ni ujinga na upuuzi. HAKUNA CHA CHADEMA,HAKUNA CHA UPINZANI WALA HAKUNA CHA NCHI ZA MAGHARIBI.

  HEBU WATANZANIA AMKENI TOKA USINGIZINI. HAPA ANAYECHOCHEA MIGOGORO NA VURUGU ZOTE HIZI NI SERIKALI YA CHAMA CHA MAGAMBA MAANA NI SERIKALI DHAIFU SANA AMBAYO IMESHINDWA KUTAWALA NA SASA IMEAMUA KUTUMIA UDIKTETA(DICTATORSHIP) KUTAWALA! HUU NI UTAWALA WA MABAVU AMBAO KILE SERIKALI WANACHOAMUA NDICHO HICHOHICHO WHETHER YOU LIKE IT OR NOT!

  Purely barbaric,purely dictatorship.

  Najua Magamba hawatakubaliana na hili lakini ni ukweli ulio wazi kabisa
  .
   
 8. M

  MVENGEVENGE Senior Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nonsense!! unakuwa kilaza matatizo mnayajua ni nini unawatupia nchi za magharibi,shame on you!
   
 9. mzalendokweli

  mzalendokweli JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wewe humpi mumeo stahik zake za ndoa alafu akilalamika "ooh najua mama juma ndio anakuchochea"!
  Timiza wajibu wako kwanza
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Msijisumbue kumjibu huyu kilaza.....hana kazi ya kufanya huyu.....yaani amefungua masredi mengi afu hayana kichwa wala miguu.....na akifungua harudi tena anaenda kufungua nyingine.....huyu naona Nape atakuwa anampa elfu tano kwa siku!
   
 11. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  haya maneno yanatoka kwenye mdomo wako huo huo wa kulia ugali au ule mwengine?? shame on you!
   
 12. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Kaangalie haka kajibwa koko kanavyo bweka!
   
 13. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Don Draper, kuwa mwangalifu na mtu unayemtuhumu. Serikali ya CCM kama si nchi za magharibu itazama kimoja. Kila kukicha inatembeza bakuli nchi za magharib ikiomba fedha. Sasa mnajidai hamnazo na iko hatari ya kukata mkono unakulisha. Hizi propaganda kama CCM hamkuwa makini itakula kwenu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,959
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Mtazisingia na nchi za magharibi wakati haya yote ni matokeo ya udhaifu wenu wenyewe.
   
 16. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Siyo siri hata mitandao kama hii ya JF na FB inatumika.
  LEO ,JF ukurasa woote wa siasa ni Ulimboka.
  The message is clear-INCITE!
   
 17. mzalendokweli

  mzalendokweli JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli dadaangu huez jua labla ni Nape mwenyewe mana wanasema in internet world u ll never knw who u er talkin 2 z a dog.
   
 18. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Unawapotezea muda watanzania kujadili mawazo yako na sio uhalisia Kama unavyotaka kutuaminisha.
   
 19. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,894
  Trophy Points: 280
  Wewe endelea kula kyindi na mabhifu ya huruma!
   
 20. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Huyu mtu amenikera kweli leo, yaani kabandika thread nyingi halafu zote ni pumba point, utafikiri kagongwa
   
Loading...