Waza kama kikwete angechukua nnchi mwaka 1995 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waza kama kikwete angechukua nnchi mwaka 1995

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHEMPO, Jun 29, 2012.

 1. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Najaribu kufikiri kama kikwete angeichukua hii nchi mwaka 95...akiwa kijana zaid,yafuatayo nafikiri yangekuwa yametimia:
  1.nchi ingekuwa imeshaisha namaaniisha tanganyika ingeshapotea kwenye uso wa dunia
  2.kwa sasa
  ukombozi wetu ungeshakamilika,namaanisha tungekuwa huru,mbali na dudu ccm
  ongeza plz
   
Loading...