Ni maneno ya mkosamali Mb wa NCCR Mageuzi akiwalalamikia viongozi walioko madarakani
Source: Star Tv kipindi cha Tuongee Asubuhi juu ya mada ya UFUATILIAJI AHADI ZA SERIKALI
SIRI zaidi za ufisadi katika mchakato wa kumiliki mgodi wa makaa ya mawe Kiwira mkoani Mbeya, zimezidi kuibuliwa baada ya kubainika kwamba sehemu ya mgodi huo ilimilikishwa kinyemela kwa aliyekuwa...
Roho YANIUMA NINAPOKUMBUKA PALE MADR WALIPOMUOMBA DR ULIMBOKA KUONGOZA VUGUVUGU LA MABADILIKO AMBAYO BAADHI YETU TUNATAMANI KUYAONA.
ALISEMA
''JAMANI KWELI MNANICHAGUA MIMI KUONGOZA HAYA...
Ni ahadi hasa katika kampeni za uchaguzi na utekelezwaji wake kwa walio zitoa
Felix mkosamali, Ally Kessy Mohamed mbunge wa Nkasi Habib Mnyaa mbunge wa Mkanyageni ndani
Naona ipo haja ya kuiunga Mkono CDM na kuikabidhi Nchi kwa Miaka mitano ,Miaka mitano sio mingi ,iwapo mikakati ya Katiba itatuweka katika hali nzuri kidemokrasia ,basi wanachi kama wananchi ambao...
Nimejikuta nikijiuliza swali hilo hapo juu. Nisaidieni hali ingekuwaje kama kweli Dk Aisha Kikwete angetekwa na kufanyiwa unyama aliofanyiwa Steven Ulimboka? Hii maana yake ni kwamba Tanzania ina...
Kutoka Usalama wa Taifa
Taifa hodari, la kishujaa na Lililoweka mbali Uoga.
Natoa pole sana kwa Dr. Steven Ulimboka pamoja na familia yake, Mungu atamsaidia, tupo pamoja tukimuombea.
Hakika...
Kweli wana JF mmeniangusha yaani hata mtu mmoja hajafika kwenye maandamano??? nafikiri ni vyema sasa tusahau mabadiliko katika hiki kizazi cha kunguru tusubiria machungu yatikise nyongo zetu...
Wanasiasa wetu hawana tofauti na matapeli wengine wa kawaida. Ukiwaona hapa waziri mkuu Mizengo Pinda na Dk Steven Ulimboka utadhani kicheko cha Pinda hakifichi chuki na kiasasi cha ajabu. Kwa...
Pamoja na kwamba nimeitaja CCM lakini sina ushabiki na chama chochote. Ninachokieleza ni ukweli ambao baada ya kunisoma hadi mwisho mtakubaliana nami na mtanielewa.
Bunge hili la Anne Makinda...
Akihojiwa na star tv Nepi kadai wanalipwa kutokana na kodi za watanzania na kutowatibu ni kukosa shukrani ya kodi za watanzania. Amewataka wawatumikie watanzania kama wanavyolipwa mishahara...
Humu ndani tutahukumiwa kwa kutowataja wadau wa mabadiliko tanzania.
Wangu ni hawa na ninawapongeza na kuwapa moyo,najua kuna maeneo walijikuta wanajiuliza mara nyingi kuhusu njia...
bila shaka naomba ifahamike kuwa,hakuna chochote kinachosemwa na cdm isipokuwa uroho wa madaraka tu.hoja inadhihirishwa kwa makini kwa kuieleza safu ya uongozi wa chadema iliyojaa undugulization...
SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!
My...
Nauliza tu ,kutokana na habari za kuaminka kabisa ,CCM haitakiwi tena Zanzibar na ukiangalia huku Tanganyika nako imepoteza umaarufu na wananchi wanaihama na kuhamia vyama vingine.
Sasa ikiwa...
leo bungeni kwenye maswali ya papo kwa papo, mh tundu lisu alimuuliza waziri mkuu kuwa aliahidi kuwa watashughilikia matatizo la madaktari na mgomo hautotokea tena. Sasa kwa nini umetokea...
Habari za jioni madaktari wangu, poleni na majukumu mazito ya sasa nawapa pole kwa maswaibu ya dr.Ulimboka na pia vitisho mnavyoendelea kuelekezwa kwenu, wito wangu kwenu naomba muimarishe ulinzi...
Maneno haya yamesemwa na mbunge wa Sikonge Mh Saidi Mkumba wakati akianza kuchangia. Na katika hali ya kushangaza Mh Mbatia alipo omba muongozo Mh Ndugai alisema kuwa mh mkumba yuko sahihi kwa...
Katika hali ambayo haikutarajiwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kimeingia kwa kishindo jimboni Monduli katika operesheni ya M4C Vua Gamba Vaa Gwanda.
Katika mikutano iliyofanyika juzi CDM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.