Mgomo wa Madaktari ni Uhaini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa Madaktari ni Uhaini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sun Tzu, Jun 28, 2012.

 1. Sun Tzu

  Sun Tzu Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Madaktari.

  Mgomo wa Madaktari ni Uhaini. Legacy of Ashes at Work! inawezekana vipi Daktari aliyeapa kuokoa maisha akawa mstari wa mbele katika kuangamiza maisha?

  Acheni siasa okoeni maisha, msije kujikuta mnatumiwa kufanikisha uhaini kwa faida ya watu wengine.

  Je akija emergency dada yako au mkeo au nduguyo yeyote yupo labour unataka iweje afe? Je watanzania wengine wao ndiyo wana haki ya kufa kwa kukosa huduma?

  Je akija mtoto mdogo ameungua na maji ya moto au kagongwa na gari upo tayari afie hopsitali kwasababu ya vijisenti unavovyodai, Je akiwa mtoto wko utafanya nini? Je fedha ni bora kuliko maisha? Je ubinadamu upo wapi? Je Professionalism ipo wapi?

  Tuwe wakweli na tuweke uzalendo mbele, achaneni na siasa fanyeni kazi kwa wale wanaotaka siasa 2015 watafute majimbo.

  Acheni unafiki na ujinga wa kuweka maslahi yenu mbele kwanza! Kama wazazi wenu wangeweka maslahi yao mbele wengine msingezaliwa kwani wangeendelea kula nchi. Na kama wakunga waliowazalisha au madaktari waliokuwepo zamu siku mlipozaliwa wangegoma leo mngekuwepo!

  Kazi kwanza siasa waachineni wanaoziweza. Msitumiwe, na msikubali kutumika kisiasa, 'ONLY FOOLS CAN DO AND ACCEPT THAT!

  Don't hold Tanzanians hostage because you are selfish and have no morals! Save life and you will receive devidends and comand respect for your profession ans above all you will uphold and save humanity!
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Majibu rahisi kwenye maswali magumu, kila mkibanwa mnakimbilia ni siasa!!
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nyinyi ndo mnaipa kibur serikali ya magamba na inajisahau kutimiza wajibu wake kwa wananchi.Nani anaua watu kama serikali.Umeshaenda mhimbili kwa ct scan? We jiulize kwa nn wao wakiuugua breki ya kwanza ni apollo? Unajua mishahara yao? Unajua mshahara wa dr? ITS RIDICULOUS KUTETEA SERIKALI YA MAGAMBA!
   
 4. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  UHAINI nikosa la jinai na mtuhumiwa yeyote wa uhaini lazima apigwe lupango na hakuna dhamana. Akipatikana na hatia ni ama kunyongwa au kifungo cha mahsha! Je, kuna lolote la hayo limefanyika kuhusu madaktari waliogoma? Kama sio kwa nini?? Jibu Sun Tzu
   
 5. mazeea1

  mazeea1 Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Huna jipya! Tushayasikia hayo toka migomo iliyopita! Kuwa mbunifu basiiii!!!
   
 6. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Na ufujaji wa mali za wazalendo kwa watu walioapa kuzilinda ni kitendo gani? Kama noma na iwe noma...au kwa maneno sahihi kabisa, acha liwalo na liwe...sio mimi ni wenyewe ndio mnazidi kutuletea hii misemo
   
 7. Sun Tzu

  Sun Tzu Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Carol,

  Kosa la jinai walilonalo madaktari ni kwamba waliweka zana chini kinyume na ethics za Profession yao na watanzania walipoteza maisha. Mimi binafsi naifahamu familia iliyopeteza ndugu wakati wa mgomo uliopita kwa kukosa msaada. Hiyo katika mahakama inaweza kutafsiriwa kama manslaughter au murder case in certain circumstances!

  Watanzania walikufa na mgomo ukiendelea ikawa ni utamaduni ni sawa tu uhaini kwani watu watapoteza maisha!
   
 8. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,165
  Likes Received: 1,169
  Trophy Points: 280
  Wewe mtoa mada ni mmoja wa wale mnaojiita usalama wa taifa ambao kazi yenu ni kupuliza pafyumu pale viongozi wa siasa wanapo jampa ili harufu isisikike, oneni sasa walivo kazana kujampa hadi pafyumu zenu kuzidiwa!
   
 9. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hahaha umenichekesha sana
   
 10. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hakuna uhaini, wanadai mambo ya msingi sana na kama tunavyoijua serikali yetu inafanya kazi pale tu watu wanapopiga kelele zinazosikika.
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ukiwa na MBEGU za mtama na nyumbani hakuna chakula, utafanye?

  1. Ukizila, kesho hutakiwa na chakula kabisa na watoto watakufa njaa.

  2. Ukizipanda na watoto wakateseka na njaa au hata kufa utaitwa Mhaini.
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Haaahaaa! Umeamua kuwaambia ukweli vuvuzelas wetu!
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Hata wale wanaoapa kuilinda katiba na kuitumikia pia nao wanaitwaje kama wanaishia kufuja mali ya umma?
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Na vipi wizi wa pesa wananchi kwa kuwapa makampuni rafiki tax breaks na bogus agreements inaigarimu serikali Dola 1.2 Billion kwa Mwaka tangu 2008? Vipi Pesa karibia Dola 303 zimelimbikizwa na matajiri wachache wanaoishi hapa nchini ambao weingi wako serikalini? Hauoni Huu ni uhaini Mkubwa? Ingeisaidia nchi yetu kuwalipa Mdaktari, Waalimu, Watoto Wazururaji kupata malazi, na Mabarabara yetu yote?

  Uzalendo Umekufa baada ya Chama na Serikali yake kuanza kuwakumbatia Matajiri na kusahau Wananchi

  Hauoni huo ni Uhaini kuiibia Nchi na Wananchi wake Mali asili zake?
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Acha upuuzi.. sasa kama ni uhaini unataka sisi tufanyaje? nenda barabarani ukawaambie serikali watimize madai yao
   
 16. S

  Short white Senior Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Level ya UJINGA wako ni ya kiwango cha juu sana! Google na usome na kuelewa kiapo cha Doctors. Usionyeshe upuuzi wako mbele za watu.
   
 17. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kwani nikitu gani kimeshindikana?pesa zakuongeza posho za madiwani zimepatikana wapi kama si kodi zetu?serikari haifanyi bshara yyote zaidi yakodi zetu,kama tumeweza kubeba mzigo wa wanasiasa wasio nataaruma yyote kazi kusinzia bungeni, sidhani kama tunashindwa kulibeba la ma Dr!!!! viongozi wa tz wanadharau sana fani zawatu.angalia walimu,polisi nk.wakati umefika wanasiasa wajpime waone nni cha msingi fani au siasa?pia watz niwakati muafaka kukataa mateso yanayo tokana na siasa.
   
 18. Small Boy

  Small Boy Senior Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Alichofanyiwa Dr. Uliomboka ndio uhaini...
   
 19. Sun Tzu

  Sun Tzu Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Short White,

  Nafikiri level ya ujinga wangu ikilinganishwa na ya kwako, ya kwako ni super sonic! Angalia ethics za madaktari zinasemaje? Nime google hapa kwa manufaa yako!


  Hii ni ile ya kwenye Wikipedia, pitia pia ethics za Waingereza na baadaye soma za Walatini na Egyptians! Acha uzuzu!


  Values in medical ethics
  Six of the values that commonly apply to medical ethics discussions are:

  • autonomy - the patient has the right to refuse or choose their treatment. (Voluntas aegroti suprema lex.)
  • beneficence - a practitioner should act in the best interest of the patient. (Salus aegroti suprema lex.)
  • non-maleficence - "first, do no harm" (primum non nocere).
  • justice - concerns the distribution of scarce health resources, and the decision of who gets what treatment (fairness and equality).
  • respect for persons - the patient (and the person treating the patient) have the right to be treated with dignity.
  • truthfulness and honesty - the concept of informed consent has increased in importance since the historical events of the Doctors' Trial of the Nuremberg trials and Tuskegee syphilis experiment.
  Values such as these do not give answers as to how to handle a particular situation, but provide a useful framework for understanding conflicts.
  When moral values are in conflict, the result may be an ethical dilemma or crisis. Sometimes, no good solution to a dilemma in medical ethics exists, and occasionally, the values of the medical community (i.e., the hospital and its staff) conflict with the values of the individual patient, family, or larger non-medical community. Conflicts can also arise between health care providers, or among family members. Some argue for example, that the principles of autonomy and beneficence clash when patients refuse blood transfusions, considering them life-saving; and truth-telling was not emphasized to a large extent before the HIV era.
   
 20. FULLUMBU

  FULLUMBU Senior Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  nimejaribu kusoma hypocratic oath x 7 bt cjaona sehemu inayo inambana asigome zaidi inawahamasisha ili waweze kushika kiapo hcho lazima wayafurahie maisha....je ni kweli wanayafurahia maisha....................
   
Loading...