Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Jun 28, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,410
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  speacilists at MNH -TOTAL TOOLS DOWN,Watamtibu mgonjwa mmoja tu-jemedari ulimboka stephen.
   
 2. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,699
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ngoja tusikie Waziri mkuu atasema nini leo.
   
 3. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,117
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Hatawafukuza wote na kuleta madactari wengine
   
 4. j

  jigoku JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,334
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Meningitis,ni habari ya kweli?maana mgomo wa madaktari sio kitu cha mzaha,na hapa ulipofikia kiasi cha kuteka mtu na kumpiga,kumfanyia unyama wa kila aina, eti tu kwa sababu mnapingana kimtizamo katika kuboresha huduma za afya,katika kuleta mapindizu ktk sector ya afya,mapinduzi yenye tija kwa wananchi,hasa walio na kipato cha chini na kati,leo hii watu wanadiriki kufanya hayo,ni mambo yasiyokubalika hata kidogo,nayalaani sana matendo haya ya kinyama.

  Sasa hii habarai kama ni ya kweli kwangu mimi ni habari njema sana,tena sana,naomba hata wauuguzi na manesi waeweke tool down nawenyewe ili bunduki na ufisadi wao ukatibu watu hospitalini.uongo wa serikali,propaganda na maovu yote tumechoka,na ndio maana nasema taarifa hii iwe ya kweli.
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  TTD- TOTAL TOOLS DOWN.

  Wish u quick recovery dr Ulimboka.
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,045
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

  Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,954
  Likes Received: 6,491
  Trophy Points: 280
  Natafuta link ya kuniwezesha kusikiliza bunge online, naomba unisaidie hata kwa PM itakua sawa au jibu hapa hapa na wengine wapate, kulikua na ile ya arusha lakini nimeisahau
   
 8. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,597
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Big up specialists tupo pamoja
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hao madaktari wahukumiwe kifo kwa kila mgonjwa atae kufa kuanzia amri ya mahakama ya kuwata warudi kazini ilipotolewa.
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,841
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  kila kilicho chini ya uvungu kitajulikana tu.
   
 11. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,601
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Get well soon jemedari Dr. Ulimboka mabingwa big up kwenu
   
 12. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,122
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Adui muombee njaa!usijepata matatizo ya kitabibu ukakuta jamaa wapo kwenye mgomo sijui utafuta hii kauli yako?
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,268
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  zomba, wapi zinapatikana kozi nzuri za diplomasia na propaganda maana nilitegema haya mambo yangeweza kuwa contained
   
 14. Small Boy

  Small Boy Senior Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupo pamoja specialist; wananchi tuko nyuma yenu
   
 15. R

  Ruppy karenston JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana,nimeipenda hii.
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,655
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Zombiiiii bado moto unawaka zaidi na zaidi na wewe goma na hiyo degree yako ya Propaganda Nape asipokufukuzia mbali
   
 17. I have a dream

  I have a dream Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  zinapatikana kurasini
   
 18. e

  ellyjr8 Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi wewe ni zomba au zoba??!
   
 19. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,550
  Likes Received: 777
  Trophy Points: 280
  good news!
   
 20. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,708
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Bravooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!! Safi sana mabingwa wote naomba isiwe muhi2 pekeyake mgomo uwe wa nchi nzima eeh "liwalo na liwe" kama mbwai mbawimbwai tu ....
   
Loading...