Sherehe za uhuru tsh bl 27.5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sherehe za uhuru tsh bl 27.5

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, Jun 29, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Waziri wa sera uratibu na bunge Wiliam Lukuvi amesema serikali imetumia Tsh 27.5 bilioni ktk sherehe za uhuru wa Tanzania kwa kutimiza miaka 50!. Lukuvi amesema hayo wakati akichangia bajeti ya waziri mkuu, amekanusha uvumi kwamba ccm ilitumia bl 65 kama habari zilivyovumishwa.

  Swali je sh bl 26 ni ndogo?!!!!.
   
Loading...