Kauli mbiu ya interejensia yashindwa kuwazuia watekaji nyara wa dr ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli mbiu ya interejensia yashindwa kuwazuia watekaji nyara wa dr ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sammosses, Jun 30, 2012.

 1. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Iliwezekanaje kugundua mtego wa Al-shababy kutaka kuvuruga amani kwa mashambulizi kwenye maandamano ya vyama vya upinzani lakini ikashindwa kudhibiti utekaji nyara wa Dr. Ulimboka ,ambaye kama kiongozi wa chama cha madaktari ambacho kina mgogoro na serikali kwa kumwekea ulinzi ambao wakati wote ungeweza kumfuatilia ana fanya nini na kwa wakati gani ili kudhibiti hali inayopelekea suluhu na serikali kwa mustakabali wa afya ya Watanzania. Kama kuna interejensia ilitumika kuonyesha serikali inahusika kiasi cha kupelekea waziri wa mambo ya ndani kukanusha kuwa serikali haihusiki na mpango wa utekaji nyara huo, kwanini basi interejensia hiyo isitumike kudhibiti hali hiyo.Watanzania tunataka majibu ya serikali kwanini interejensia yake hufanya kazi kwa kipindi fulani tu na si wakati wote.
   
Loading...