kituko cha Waziri mkuu PINDA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kituko cha Waziri mkuu PINDA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chumba cha siri, Jun 29, 2012.

 1. C

  Chumba cha siri Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  habari wana jamii

  naomba tujadili hili kwa pamoja maana sisi wengine tukisema sana tunaambiwa ni waropokaji
  laini hawa wenzetu huwa na busara kabla ya kusema yess kweli kabisa kwakuwa wao ni viongozi wa serikali na siye wengine ni waandishi tu wa habari

  sio nia yangu kuanza hivyo lakini imenipasa kuanza na hiyo maana hata waandishi nao ni muhimiri wa nne wa serikali hivyo wanaposema kitu au jambo fulani ni lazima serikali ikalichunguza kwa makini

  kilichi nipelekea kusema kituko cha Mh.waziri mkuu ni kutokana ana kauli yake aliyoitoa juzi jumatano pale bungeni wakati akijibu hoja zilizokuwa zikielekezwa kwake naofisi yake kutoka kwa wabunge..alipoulizwa juu ya mgomo wa madaktari alisema kuwa angelitolea ufafanuzi jana lakini kinyume na hapo jana akatueleza kuwa swala hili liko mahakamani hivyo haitakuwa busara yeye kulitolea ufafanuzi swali je?wakati anawaahidi watanzania hakujua kama swala hili liko mahakamani??

  watanzania tuelewe nini juu ya swala hili?

  naomba kuwasilisha
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawaeleweki kwa sababu wanachokifanya hakiendani na dhamana tuliyowapa. So hawana amani kwani dhamira zinawasuta. Akili zao ndogo zinaongoza akili kubwa. Kwa ufupi wanabore.
   
 3. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamna PM pale', naye ni dhaifu na hafifu sana.
   
 4. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Wakati anaongea juzi alikuwa amechanganyikiwa labda, huwezi jua, mbona profesa Maji Marefu alisema hivyo.. na yeye si binadamu, labda mgonjwa!!
   
 5. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Liwalo na liwe
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  unajua magamba wanadhani watu ni wajinga bado, wanatuona kama watoto kutudanganyishia pipi. mimi mwenyewe nilishangaa kwa kauli hizo za kukurupuka. kwa ufupi pinda ni dhaifu, na wala hana uwezo wa kulitolea ufafanuzi hili
   
 7. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  pinda mpuuzi sana, na yule spika ndo jinga kabisa, kama kesi ipo mahakamani watu waendelee kukosa huduma? Aliulizwa na mbowe, kuna jitihada gani za ziada zinafanyika, akasema ameongea na lugalo, kweli lugalo inaweza kuhudumia mkoa mzima wa dar achilia mbali mikoa!!

  tundu lissu jana aliuliza swali la mantiki sana, kama amefanya kila kitu kwa uwezo wake kwnn asijiuzulu?

  Ameshndwa kazi, from day one nilisema this fella is too soft, mkabisha mkasema apewe muda,, namjua vzr mm nishawahi fanya nae kazi.., muoga kama kunguru
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wale ndo nyinyiem bana!
   
 9. S

  SAGANKA JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 313
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Damu ya dokta Ulimboka inamtesa na itaendelea kumtesa.
   
 10. d

  dguyana JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Udhaifu = Uwezo uliokusudiwa kutatua au kutekeleza jambo kushidwa kufanikiwa kutokana na nguvu za uwezo huo kuwa ndogo kuliko changamoto zenyewe.

  Sasa we akili zako ndogo kuliko unaemuongoza unafikiri matokeo yake ni nini?
   
 11. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 581
  Trophy Points: 280
  kituko cha waziri mkuu kilikuwa jana yaani kuonyesha alivyochanganyikiwa badala ya kusema mheshimiwa spika akasema mheshimiwa waziri mkuu, teh! teh! teh! kweli maji yamemfika shingoni
   
 12. Mbutunanga

  Mbutunanga Senior Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanafanya kazi kwa kukurupuka, wanafukiri ubireshaji wa sekta ya afya( health systen strenghening , HSS), inatokea kwa usanii na kutokuwajibika. Kuna hela ya kutosha ya kuimarisha secta ya afya sema wanataka kuichota hiyo hela kwa ajili ya kampeni za uchaguzi, bahati mbaya wamekutana na vichwa vinavyoenda step mbili mbele yao. Wanatuonea sie waaalimu ila na sie twaja maana tumeshafunguka.
   
 13. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  "Dr Ulimboka akigongwa na Gari au kupigwa na Majambazi msije kusema ni serikali" -Mizengo Peter Kayanza Pinda 2012( CPL building Muhimbili Hospital)
   
 14. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kuna wakati nilisikia alipata four ya karibu na ziro kidato cha nne(sijuwi kama ni kweli au uongo) kama ni kweli basi sishangai kwa alichosema. Kama ni uongo basi ni yale yale ya sintifanywa kitu(impunity)
   
 15. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mimi sichangii mpaka msitu wa pande ufyekwe.
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Mwaka huu atajichanganya sana damu ya mtu noooooooooooooooma
   
 17. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hopeless PM, i wish he was ousted.
   
 18. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ccm wamekosa watu makini wakufanya haya mambo, kama walitaka kumuua ulimboka dr kwa maslai ya nchi kwanini wafanye kijinga hv! C bora wangemkamata na kumficha sehemu na siku akitoka huko wampoteza kumbulumbu zote? Wajinga gn wapo huko na nyerere alipata wapi wasaidizi wake!? Jk kama vp badili watu wako wa karibu wapo very low sana!
   
 19. N

  Nambombe Senior Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda amechanganyikiwa
   
 20. N

  Njaare JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kigeugeu
   
Loading...