kati ya hawa viongozi pendekeza nani ashike uraisi 2015; | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kati ya hawa viongozi pendekeza nani ashike uraisi 2015;

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamuta, Jun 30, 2012.

 1. z

  zamuta Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asha migiro,anna tibaijuka,benard membe,edward lowasa,zitto kabwe,samwel sita,mwakyembe,john magufuli,mr.ii,wema sepetu,leordiga tenga,reginald mengi,issa simba,kardinal pengo,anthony lusekelo,agostino mrema.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Naona kimpumu cha week end kinakupeleka vibaya. Sawa, kwa mawazo yangu mimi naona wewe ndiyo unafaa kuwa rais kuliko yeyote uliyemtaja katika orodha yako.
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mama muuza muongezee chupa nyingine ya gongo tafadhali!!!!!!!!!!!
   
 4. DEMBA

  DEMBA JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 7,295
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  nilivyouona huu uzii nilijua kuna kitu cha maana kumbe upuuzii, ungekuwa na upeo wa kufikiri usingemuweka wema sepetu
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Wema Sepetu. Ana sura ya kuvutia na anafaa kuwa rais wa kwanza wa kike Tanzania.
   
 6. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Umeandika uchafu gani?
   
 7. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Professor Issa G. Shivji, anafaa sana.
   
 8. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  umekosea sana ulipomuwqeka na wema hoja yako ikakosa mashiko we? wewe mtu unatujaribu akili zetu au?
   
 9. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Afadhali niseme askofu wangu wote hao hakuna anayestahili. Kardinali Pengo atafaa zaidi, ingawa katiba ya kanisa hairuhusu, ingekuwa inaruhusu basi huyu angetufaa zaidi
   
 10. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  kwa vile hujasema Urais wa kitu gani hapo 2015 haina shida mie nilidhani urais wa nchi...........maana hapo tayari kuna raisi wa TFF.....................any way Wema sepetu kwa uraisi uliomaanisha maadam sio wa nchi.,Hata kama ni urais wa kuwa na via vya uzazi(VVU) vikubwa poa tu.....kura nampa Wema
   
 11. z

  zamuta Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu ndio maana ya kupiga kura kwenye demokrasia wengi wapo na mengi yapo.Naomba chaguo lako.
   
 12. z

  zamuta Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu vizuri tutaja mshindi mwisho wa mchakato.
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  zamuta!


  Yaelekea komoon imekukolea leo,pole sana!
   
 14. z

  zamuta Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu demokrasia ni mengi kupelekwa kwenye wengi ili wachague.
   
 15. z

  zamuta Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shukrani Ta.
   
 16. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shivji mafia mkubwa sema haonekani
   
 17. z

  zamuta Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maoni yako ni hatua moja mbele.shukran.
   
 18. z

  zamuta Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maoni yako ni hatua moja mbele.shukran senior expert member
   
 19. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr. Ulimboka
   
 20. z

  zamuta Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vizuri nzowa tutaedit post tumuad Prof.
   
Loading...