Mil. 90 Zinahitajika kuokoa Uhai wa Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mil. 90 Zinahitajika kuokoa Uhai wa Dr. Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbogela, Jun 29, 2012.

 1. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Jopo la Madaktari wanaomtibu Dr. Ulimboka katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili wamesema zinahitajika shilingi Milioni Tisini (Tsh.90,000,000) kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Dr. Ulimboka. Madaktari wanasema Dr. Ulimboka ana matatizo ya Ini na kuwa Matatizo hayo ya Ini hayawezi kutibika katika hospitali yetu ya Muhimbili. Jopo la Madaktari limesema mpaka sasa zimepatikana Tsh. milioni 40 zilizochangwa na Madaktari. Dr. Ulimboka anahitaji kusafirishwa kwenda nchini India ambako anaweza kupatiwa matibabu stahiki.

  Nilikuwa napendekeza Chama Cha Madaktari (MAT) au kikundi kingine kuratibu zoezi la kukusanya michango kutoka kwa wananchi wenye nia njema na wanaomtakia kupona Dr. Ulimboka.

  Pamoja na mdai Mengine Madaktari wanasema kuwa "Sisi madaktari kwa umoja wetu, tumechoka kushuhudia Watanzania wakipoteza maisha kwa magonjwa tunayoweza kuyatibu, kufanya kazi katika mazingira magumu huku kukiwa hakuna mipango ya kuboresha mazingira ya kazi, kukosekana kwa dawa na vifaa tiba."

  Maelezo ya Namna ya kuchangia yalivyotolewa na kaka yake Dr. Ulimboka.

  Haya ni maelezo ya Dkt. Hobokela Stephen, kaka yake Dkt. Ulimboka Stephen.

  Dear all,

  Thank you very much for your candid support in this.

  I would like to bring to your attention that we had a meeting this afternoon between myself and a team of specialist to discuss modalities of collecting contributions.

  In order to efficiently coordinate contributions it was agreed to use m-pesa agent number 31915 belonging to Christine Hobokela and and tigo pesa agent number 05416 belonging to Hedaya Stephen Mwaitenda.

  For those who want to send foreign currency (USD) please send to Dr. Hobokela Stephen, Stanbic Bank Tanzania Limited Account number: 024003849360, SWIFT CODE: SBICTZTX

  The reason I'm sending this is because I have been asked several times to clarify on this and after consuling with MAT president, he advised me to provide this clarification.

  Below are some steps on how to send money to m-pesa and tigo pesa:

  M-pesa

  1. piga *150# OK
  2.Chagua 2, toa pesa.
  3.Ingiza namba ya wakala ambayo ni 31915
  3.Weka kiasi cha pesa unachotaka kuchangia eg 50000
  4.Weka nambari ya siri - namba yako ya siri
  5. Bonyeza 1 kuthibitisha muamala

  Utapata ujumbe kuwa mefanikiwa kutoa pesa kwa Christin Hobokela

  Tigo pesa

  1. piga *150*01# OK
  2.Chagua 3, kutoa pesa.
  3.Ingiza namba ya wakala ambayo ni 05416
  3.Weka kiasi cha pesa unachotaka kuchangia eg 50000
  4.Weka nambari ya siri - namba yako ya siri
  5. Bonyeza 1 kuthibitisha muamala

  Utapata ujumbe kuwa umefanikiwa kutoa pesa kwa Hedaya Mwaitenda
  ----------------
  Once again we thank you very much for your support.

  Hobokela Stephen
   
 2. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  MAELEKEZO RASMI YA KAMATI KUHUSU UCHANGIAJI WA FEDHA ZA MATIBABU YA DR.STEVEN ULIMBOKA.

  Baada ya majadiliano kati ya familia ya Steven Ulimboka,kamati ya jumuiya ya madaktari na MAT.Zifuatazo ni namba za mawakala zitakazotumika kuchangia.
  MPESA 31915
  TIGOPESA 05416.
  CHITAGE.
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,245
  Likes Received: 12,965
  Trophy Points: 280
  nadhani hata watz sasa watailaumu serkali kwa kukosekana vifaa kwenye hospital kubwa kitu kinachosababisha hela nyingi kutumika kupeleka wagonjwa India
   
 4. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Ee Molah!!
  Tupeni namba ya ankaunti, au huduma za mpesa, tigo pesa, airtel money.. Nipo tayari kuchangia..
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu, wekeni na nambari za akaunti ili hata wale tulio ughaibuni tuweze kuchangia kwa urahisi.
   
 6. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,016
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Mil 90 kuokoa mtu mmoja???


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 7. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  wanalishughulikia ,tutawajulisha utaratibu ukikamilika mkuu!
   
 8. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tupeni akaunti namba tuchangie!
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  dah..clouds FM will make deal out of it!
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wakuu tupeni namba ya mpesa tuchange kwani muda si mrefu nitapata ban
   
 11. S

  Sally Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  The earlier the better
   
 12. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hali ya Dr. Ulimboka kwa sasa sio private issue na wala sio issue ya wanataaluma wenzake ni jambo la watanzania wote, Bunge limeshindwa kujadiri, Wizara yake ya Afya imeshindwa hata kutoa tamko, Ofisi ya waziri Mkuu inayoshughurikia madai ya Madaktari ya kuboresha mazingira ya kazi pamoja na kuboresha huduma za afya kwa ajili ya watanzania. Walio baki ni Raia wa Tanzania, Tunaomba tushirikishwe ipasavyo, Naona ushirikishaji wa wananchi kutoka kwa madaktari sio mzuri sana. Madaktari semeni, kuweni wazi mnataka msaada gani kutoka kwa RAIA, tupo tayari kufanya lile tunaloweza kama halitawezekana tutawaambia hilo tumeshindwa. Tunaomba mpango wa namna michango inavyoweza kukusanywa mara moja kuweza kumsaidia Dr. Ulimboka kutibiwa India.
   
 13. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Tupeni namba fastaa tuchangie! Tulimchangia Sajuki, huyu hatutashindwa!
   
 14. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  tujitokeze kwa wingi tumwokoe Dr Uli
   
 15. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Na njia nyingine zote za uchangiaji pesa zimesitishwa na kupendekeza zitumike namba za mawakala zifuatazo Voda 31915 na Tigo 05416.
   
 16. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  NDIO mkuu. Inaonekana majeruhi yake ya ndani ni makubwa sana, LABDA itahitajika kubadirisha Ini kabisa?? LAKINI kwa Dr. Ulimboka ni muhimu aokolewe kwa gharama yoyote ile, kwani ataweza kusaidia kuleta ukweli wa mambo. Pia hii itakuwa ndio mwanzo wa kukuzwa Demkrasia ya kuheshimiana mawazo. La Sivyo wakishajua hii njia inasaidia watu wengi watanyamazishwa.
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ingekuwa vema kila anaesoma hizo number (M-Pesa, tigo pesa etc) amtaarifu mwingine mapema ili wamuwahishe India. Tuhimizane wandugu.
   
 18. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  HApo kwenye RED
  :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112:
   
 19. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  jamani jamani. hakuna jambo lililoniumiza kama umafia aliofanyiwa mtanzania mwenzetu dr ulimboka. binafsi niko tayari kuchangia, leteni namba ya mpesa tuchangie. iko siku, tutagonga cheers na dr wetu ulimboka.
  capital
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Kiongozi, soma hapo chini, kuna uzi umewekwa sasa hivi una number za kuchangia.
  MAELEKEZO RASMI YA KAMATI KUHUSU UCHANGIAJI WA FEDHA ZA MATIBABU YA DR.STEVEN ULIMBOKA.

  Baada ya majadiliano kati ya familia ya Steven Ulimboka,kamati ya jumuiya ya madaktari na MAT.Zifuatazo ni namba za mawakala zitakazotumika kuchangia.
  MPESA 31915
  TIGOPESA 05416
  .
  CHITAGE.
   
Loading...