Hatimaye budget ya waziri mkuu yapita pamoja na mazongezonge yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye budget ya waziri mkuu yapita pamoja na mazongezonge yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sammosses, Jun 29, 2012.

 1. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hatimaye bajeti na mazongezonge yake katika ofisi ya waziri mkuu yapita kwa lugha laini,tunachosubiri ni utekelezaji.Tumechoshwa na serikali ipo kwenye mchakato,tumejaribu kuliangalia kwa umakini na kwa kuwa rais wetu ni mtu msikivu nitaongea naye.Kauli kama hizi hatutarajii kuzisikia tunataka utekelezaji
   
 2. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "Mchakato unaendelea, mpango kabambe, upembuzi yakinifu, feasibility study, mkandarasi yuko site, serikali sikivu" nk. Haya maneno hayataisha ndani ya CCM!
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii budget imepita bila kusoma kifungu cha Mkoa Singida. Mwanzoni katibu wa bunge alitaja jina tu lakini hakusema kiasi cha fedha lakini akarukia mkoa mwingine. Baadae Spika alivyokumbushwa kuwa Singida haikutajwa akasisitiza imesomwa! Wabunge wa Singida wakaangalie hansard.
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wabunge wa ccm wataipitisha tu ile budget hakuna kitu pale they are just a bunch of hypocrites
   
 5. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  bajeti ya mzee wa 'liwalo na liwe'
   
 6. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Pindi hali itakaporuhusu, kadri uchumi unavyoendelea kukua, vuteni subira, serikali inayaangalia masuala haya kwa urefu na mapana yake, mazungumzo na wafadhili yanaendelea nk....!
   
 7. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ajabu na kweli,hivi kweli kwa wadhifa wa waziri mkuu yawezekana akawa hajui kama kuna mabilioni yaliyowekwa nchini Uswiss kwa kudai kuwa ameona kwenye magazeti ilihali mh.Zitto Kabwe amelizungumza ndani ya bunge.Ndiyo maana kamwe Watanzania hawataamini maneno ya bwana Pinda.Kama kiongozi mkuu anasema uongo watendaji wake waseme nini,labda ni mchezo wa kuigiza.https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/baby.gif
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Serikali ni dhaifu sana tena sana tu.Pinda unalakujibu na kauli yako tata ya LIWALO NA LIWE
   
 9. K

  Katalyeba Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tatizo la bajeti litaendelea kuwepo hadi Bunge littakapokuwa na uwiano sawa wa wabunge, walau wapinzani wangekuwa more than one third. Naamini yana mwisho, na muda si mrefu 2015 watajuta kuzaliwa. Watanzania wa 2010 si wa 2012, Waanche waendelee na sera yao, TUMEWEZA, TUNATHUBUT NA TUNASONGA MBELE. 2015 WATASONGA NYUMA.
   
 10. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Leo wameshindwa kuongeza posho ya madaktari lakini serikali kupitia baraza lake la mawaziri linaazimia nchi kuingia tena kwenye dharura kwa kuomba madaktari wa nje kwa gharama za pesa za Watanzani jumla ya Tshs 200,000,000,000/- kama huu si ulimbukeni wa madaraka ni nini,kwa kuwa na serikali kama hii ni janga la kitaifa
   
Loading...