CUF hiyooooooooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF hiyooooooooo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Jun 29, 2012.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  [h=6]UKIIKOSA HII UTAJILAUMU MILELE.....

  Siku ya jumapili tarehe 15.07.2012 kuanzia saa 6.00 mchana, maelfu ya wakazi wa DAR ES SALAAM watamwagika kwa wingi uwanja wa JANGWANI, uwanja wa nyumbani wa THE CIVIC UNITED FRONT.....CUF, patakuwa na shughuli ya kufa mtu na asiyefika atakosa wa kumlaumu.

  Ikitimu saa 10.00 jioni tutakuwa LIVE kwenye TELEVISHENI na REDIO mtakazojulishwa siku chache zijazo. CHAMA KUBWA itatoa elimu ya kufa mtu kwa WATANZANIA MILIONI 40 nchini kite, NCHI ITASIMAMA KWA SAA MBILI.

  Mchumi nambari moja duniani na MWENYEKITI WA CHAMA CHA WANANCHI WOTE atasasambua ajenda nzito za kitaifa na mwelekeo WA nchi yetu. Wapiganaji wote wanaofanya kazi ya kuleta mabadiliko chini ya MNYAMWEZI full bright visiting proffesor LIPUMBA wakiongozwa na MACHANO HAMIS ALI, MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD, SALUM BARUANI, MAGDALENA SAKAYA, MCHUNGAJI MWIJARUBI, HABIB MNYAA na wabunge na vipngozi WA kitaifa kibao watafanya mambo makubwa.

  Kama unataka kujua kwa nini Tanzania ni masikini kila uchwao,
  kama unataka kujua kwa nini NINI VINAPANDA BEI,
  Kama unataka kujua kwa nini vijana hawana ajira,
  kama unataka kujua kwa nini bajeti za CCM zinazidi kuongeza umasikini,
  kama unataka kujua mgawanyo sahihi wa rasilimali za nchi utapaswa kuwaje,
  kama unataka kujua CHAMA kitakachoiokoa Tanzania,
  kama unataka kujua katiba mbadala inapaswa kuwaje na mambo mengine mengi, kazi yako ni moja tu - KUFIKA Uwanja wa nyumbani JANGWANI tarehe 15.07.2012 siku ya jumapili,
  na kwa wale WA mikoani fungulia TV yako kuanzia saa 10.00 jioni na wale WA vijijini fungulia REDIO yako muda huo.

  Kwa wale wa DSM ukiweza kuna kwa mguu njoo, kwa maandamano twende, kwa maguta hayaa, baiskeli karibu, ukiweza kuja kwa trekta hamna noma, ukipanda treni fresh, ukija kwa bodaboda swadakta, ukija kwa mabasi yaendayo kasi umepatia, ukija kwa fuso kama kawa......asibaki mtu nyumbani.

  Kwa taarifa zaidi, maoni na ushauri wasiliana na MHE. ABDUL KAMBAYA(KIPAZA SAUTI CHERY) - MKULU WA MAMBO YA HABARI NA MA-VYOMBO YA HABARI wa chama kubwa. Namba yake ni +255719566567. Au ofisa wa maneno ya HABARI na MA-UENEZI......+255655660030.

  ASIBAKI MTU NYUMBANI na ASIACHE MTU KUFUNGULIA TELEVISHENI NA REDIO SIKU HIYO.....

  UKIIKOSA HII YA JANGWANI.....UTAJINYONGA KWA BUBLISH(JOJO).
  [/h]
   
 2. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mchumi nambari moja Duniani!!!!!!!!!!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hizi ni pumba
   
 4. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Uamsho wa bara!
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  MNYAMWEZI:hata ya bila neno hili ungeelewena
  tunashukuru kwa taarifa sie wa mikoani tutatekeleza wito wako kwa kufungulia mikulima yetu.....endelea kutupa latest
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nilijua tu ,CUF wataizizimisha Tanzania nzima ,hawa jamaa mwisho ,nimetonywa kuwa huenda siri ya nanihuyu Ulimboka ikasemwa na kufanunuliwa kwa uhakika ,kama ni serikali au Chadema.
   
 7. j

  joely JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  vipi mtawapa colabo masela wenu wa ccm
   
 8. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Mtatiro yu wapi jamani?
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tawi la CCM nalo linaiga.Halafu Jumapili wakristo wengi watakuwa kanisani.Sasa sijui mkutano wao ni mahsusi kwa ajili ya wapagani au?
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hapo red sitahitaji kujua maana najua kuwa ni CHADEMA bila shaka kuendelea kuuliza swali hili ni kupoteza muda mkuu

  ila asante sana kwa taarifa - tumemuzoea sana Mtatiro ndiye alikuwa anatupa habari za nini kinaendelea huko kwenu sasa kimya vipi nini kimempata au naye kama HR
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nasikia wana mgogoro mkubwa na Mtatiro huenda akafukuzwa wakati wowote
   
 12. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Duh !!!!
  nini tena au sababu ya dini yake maana hawa jamaa bila kigezo cha dini chama kinakufa Rejea kauli ya JUSSA
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mtatiro aliwataja usalama wa taifa kwenye page yake fb,,,,siku ileile ya tukio
   
 14. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mtatirooo! Mlisema ameasi jf. Sasa huyu hapa katokea leo, teh theh teh! Ukitaka zoezi la mkutano wa CUF life, we katisha pale mkutanoni na kitimoto mnyama.
   
 15. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mchumi ndani ya Chama kinacho elekea KABURINI..
  Mchumi ndani ya Nchi maskini Duniani.Mchumi alliye poteza mvuto wa Chama kwa kutumia mda wake ktk mambo binafsi yasiyo na tija kwa Chama ..
  Hongereni mnayemkubali kiongozi kwa elimu yake bila kupima uwezo wake ki uongozi..
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  You and your friends will eat coke this this around!!
   
 17. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Haki....
   
 18. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Inaolewaaa....Mahariii imekwishatolewaaa!
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  kwa nini unasema ni serikali au chadema, kwa nini isiwe cuf.?
   
 20. M

  MVENGEVENGE Senior Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umenena ndugu yangu hao magamba "B" wamekosa credibility waliingia kwenye mtego wa magamba wakanasa, wana kitu cha kueleza hakuna zaidi ya kuelezea sera za magamba.
   
Loading...