Wanasiasa na kashfa za ngono

telitaibi

JF-Expert Member
May 2, 2012
551
106
Hi wana JF wote
Leo tusemezane kuhusu hii tabia ya wanasiasa au viongozi wa serikali kupata kashfa za ngono imekuwa kama moja ya kuedit CV zao duniani swali wanapata wapi mda wa kukimbizana na makahaba na mda wa kujipanaga na majukumu ya uma that why wanaishia kuchakachua mali kwa kushindwa kujipanga mda ukiwapa mgongo ndo kuiba na kuachia nchi balaa tupu ni mishahara inayotokana na kodi za uma zinawapa kibali au ni nini jamani????????????
 
Tatizo la wapiga kura kutokuwa makini na maamuzi yao. Wanachagua watu kutokana na wali, kanga, sukari n.k. Hapa unategemea nini??
 
Sasa hii ni argument gani? Bila kutaja hao wanasiasa wenyewe, watu watajadili nini hapa?
 
Hi wana JF wote
Leo tusemezane kuhusu hii tabia ya wanasiasa au viongozi wa serikali kupata kashfa za ngono imekuwa kama moja ya kuedit CV zao duniani swali wanapata wapi mda wa kukimbizana na makahaba na mda wa kujipanaga na majukumu ya uma that why wanaishia kuchakachua mali kwa kushindwa kujipanga mda ukiwapa mgongo ndo kuiba na kuachia nchi balaa tupu ni mishahara inayotokana na kodi za uma zinawapa kibali au ni nini jamani????????????

Wahenga wanasema "usiku haushoni nguo" lakini hawakusema kwamba kupiga kupasi haina shida. Nenda area c huko dom. Bar zote hazifungwi na zina "vichobisi" kama "mwanandani!" Sababu ni moja tu. Watawala wajisikie confotable.

USIKU MREFU DADA!
 
suala la kashfa ya ngono nje ya ofisi sidhani kama ni zito sana..tatizo kama ile ngono itafanyika ndani ya ofisi au kwa mazingira ya rushwa ya kiofisi..
ila kuchakachuana tu huko nje mie naona poa & ruksa kama hawavunji sheria za nchi na maadili ya kidini
 
Ninaendelea kulikumbuka Azimio la Arusha.sioni ubaya wake ila mle kulikuwa na miiko ya uongozi

lakini mliamua kukataa muwe huru haya ndiyo yanayotokea sasa.tusijilaumu kwani kupanga ni kuchagua
 
Tatizo la wapiga kura kutokuwa makini na maamuzi yao. Wanachagua watu kutokana na wali, kanga, sukari n.k. Hapa unategemea nini??

lakini ni mda tu na kashfa hizi itabidi tuwe tunawapiga chini kwani hao wapiga kura wake zao ndo wanachakachuliwa au waume zao kioo cha jamii awe nani sasa wasani kiboko na hawa ndo balaa
 
Wahenga wanasema "usiku haushoni nguo" lakini hawakusema kwamba kupiga kupasi haina shida. Nenda area c huko dom. Bar zote hazifungwi na zina "vichobisi" kama "mwanandani!" Sababu ni moja tu. Watawala wajisikie confotable.

USIKU MREFU DADA!

haya nice eve bro hapo ni pagumu sana tunafanya nini
 
Wahenga wanasema "usiku haushoni nguo" lakini hawakusema kwamba kupiga kupasi haina shida. Nenda area c huko dom. Bar zote hazifungwi na zina "vichobisi" kama "mwanandani!" Sababu ni moja tu. Watawala wajisikie confotable.

USIKU MREFU DADA!

hebu jiachie zaidi tunafanya nini
 
Ndio maana wanang'ang'ania posho na rushwa kwasababu mshahara hauwatoshi kuhonga, mademu wa siku wakijua wewe ni kiongozi dau linakuwa juu.
 
Back
Top Bottom