Is Karume pro uamsho?

karume ana rangi flani ya kiarabu na kiongozi mkuu wa uamsho ana rangi hiyohiyo
 
habari zinazoaminika ni kuwa wajumbe wanaowania urais wa tanzania kupitia ccm wanatumia uamsho kwa ajili ya kuwagawa watanzania kidini ili waweze kupita kwenye kura za maoni na hii inahusishwa sana na kikwete ridhiwani,othmani( tiss)karume rais mstaafu wa ccm shareef wacuf na akina bakwata mipango hii itaaza kuzaa matunda 2013 kwa kuhakikisha muislam ndie chaguo lao.mungu ibariki tanzania
 
Karume ni mtoto wa Abdulrahman Babu. Marehemu Karume (baba) alimlea tu. Kwa hiyo ukizingatia kuwa mtoto ni kwa baba, basi si ajabu Karume kuunga mkono uamsho, ingawa Babu alikuwa more nationalistic.
 
Kama dini ndot itachagua rais bac wameingia choo cha watoto wa kike.
 
Back
Top Bottom