Serikali chanzo cha migomo

Dangire

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
221
68
MARA KADHAA TUMEPATA KUSHUHUDIA JINSI VIONGOZI WA KISIASA WANAVYOJIAMRIA KIWANGO CHA ULAJI WANACHOKITAKA HUKU WAKIJUA KUWA KADA ZINGINE ZINZFANYA KAZI NGUMU NA 'MUHIMU' SANA KWA JAMII, km. madaktari. wananchi wanapopiga kelele hua hawasikilizwi kana kwamba nchi hii ni ya wanasiasa tu. wanapotaka kujiongezea 'ulaji' wanajilinganisha na mataifa ya nje badala ya kuzingatia uchumi wa nchi yetu. kada zingine (kama madaktari, walimu, wanafunzi nk.) wanapodai nyongeza ya 'keki' huambiwa eti "keki yenyewe ni kadogo tu hakatatosha kuwaongezea na wao".yenyewe inajimegea mapande makubwa kweli! hii ni moja ya mambo yanayopelekea wengine kufanya migomo. hebu sasa wathubutu kupunguza mishahara na marupurupu yao na tuone kama wananchi wengine wataandamana!
 
Back
Top Bottom