Vijisenti vya chenge vitarudishwa nchi lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijisenti vya chenge vitarudishwa nchi lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by boggie, Jul 2, 2012.

 1. b

  boggie Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chenji ya rada inerudishwa. Nauliza vijisenti vya chenge vitarudishwa lini?
   
 2. W

  WildCard JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hivi havirudi. Ni vyake. Sheria mbovu ya rushwa tulionayo sasa haimfanyi kitu Mtemi Chenge. Zamani enzi za Mwalimu angesimamishwa mahakamani akatueleza alivipataje vijisenti vile. Sasa hivi TAKUKURU wanatakiwa wapeleleze wao wapate ushahidi wa kumshtaki.
   
Loading...