Masaa 36 kabla ya maamuzi magumu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masaa 36 kabla ya maamuzi magumu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jul 2, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  mwaka huu tutayaona tusiyowahi kuyaona Tanzania.tusubiri tamko rasmi.
  msinitukane jamani nimewaletea tetesi tu hebu na wewe endelea kutafuta ukweli.
  najua mwajua nini kinatawala vyombo vyetu vya habari.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,660
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Mkuu tupo Pamoja wala situkani
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,884
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ok, subira yavuta heri
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,492
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  hakuna kitu cha maana itaamua serikali hii..ni sanaa tu hakuna la maana
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,210
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Kikwete kamuumbua mnafiki
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,878
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, hayo maamuzi magumu yatafanywa na serikali legelege au na madaktari???
   
 7. a

  afwe JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,074
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Tena ukizingatia kuwa wengine waliambiwa hawaruhusiwi kusema chochote juu ya hilo
   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 5,556
  Likes Received: 1,884
  Trophy Points: 280
  binafsi sijaukuelewa kabisa..
   
 9. D

  Dr Gustav Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wala hwtufiki huko ,mbonaq tumewaachia madr wageni waje waongee nawagonjwa wenu kisukuma -kiswahili-kiingereza-then diagnosis,manurse nawahurumia mtafika kweli?
   
 10. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,446
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kajiumbua mwenyewe, na watu mazuzu kama nyie !! Naona umekuja kwa kazi maalum mabandiko alfu alfu tangu kujiunga June

  Mwambie awaambie wananchi madai mengine ni nini, na pia aeleze ni vifaa gani wamenunua kuboresha hospitali, na pia aongelee vile feki ambapo Nyoni, mshirika wake alitumia mabilioni kulazimisha vinunuliwe na vikafa within 3 months..!

  Ona walivyovilaza..... Bungeni mama Ambiliki na yule wa kulia lia si walisema suala hilo liachwe kwanza sababu lipo mahakamani ? Sasa Dhaifu mbona kaliongelea ? Nyie na akili za masaburi mmeshikwa pabaya sasa na labda mjiangushe tena kutafuta huruma otherwise this time ni OUT !! Sijui mtakimbilia wapi maana huko mlikouza twiga na kufanya dili za meli sasa kumenuka na masifa ya kutembeza bakuli sasa mtajaziwa mchanga tuu.

  Rais wa tano dhaifu, na legelege ! Muda wa kwenda kupima akili ktk hospitali za nje umepita..
   
 11. F

  Froida JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,150
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kikwete Raisi mnafiki kuliko Raisi yeyote wa nchi hii amejiuumbua wale waliosema ni mtoto hawezi kutawala walisema kweli
   
 12. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kaka nilifikiri peke yangu
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280


  aisee mnaishi nchi gani wakuu?
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naona na nyie mshasema liwalo na liwe
   
 15. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  serikali ilshafanya jana!
   
 16. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #16
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,958
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Ukitukana utaona cha moto mzee kitokololo...............hata utukaneje huwezi kumfikia lusinde. Vipi mwana Safari yetu ya Gombe Park lini?
   
 17. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  taaruma ya udaktari itaheshimika iwapo tu madaktari hawatarudi nyuma, haaatakuwa na woga wala kuyumbishwa ukwelli utabaki kuwa ukweli tu “ mko wachache madaktari wetu” na ndio maana ssrikkali haiongelei suala la kuajiri wapya sababu hadi leo nafasi za ajira zipo kwa ma dr ila wadaktar hakuna. ikileta wairani ilete na wakalimani 1000. na familia zao . wakati mwingine pengine mgenni akisema ct-scan mbovu na vitendea kazi, hakuna anaweza akasikilizwa kuliko wazawa. gomeni gomeni gomeni.!! njooni dodoma tunaweza kununuliwa ct- scan na MRI machine, njooni na manyara jamani
   
 18. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,660
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Gombe park sikanyagi mkuu si unajua nilikuwa kifungoni
   
 19. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hili suala liko mahakamani mi sisemi kitu
   
 20. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,117
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Mimi naona kila mtu aelewi afanye nini,Dactari aelewi afanye nini kwani ameshakwenda mbali sana na kurudi nyuma ni ngumu na hata wakikubali sina uakika kama watatibu watu kwa mashinikizo kutoka serekalini,kwa wabunge,sijui bodi ya wadhanini,Raisi n.k hivyo hivyo wagonjwa nao wako njia pada ,hivi jiulize mtu anaugonjwa wa muda mrefu na kwenda huko private hawezi anategemea hospitali ya serekali ambayo ina wataalam (japo hakuna vifaa).Serekali nayo haitaki kujiona kuwa inaongozwa kwa shinikizo .Mahakama nayo imeng'ang'ania sehemu yao .Sasa inafika mahali mgomo na majadiliano yanakosa mwelekeo .Jamani tuombe Mungu iki kitu kiishe salama
   
Loading...