madai ya madaktari...........mtazamo wangu

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
tulio wengi tunaamini madaktari ni watu wanaofanya mambo kwa kutumia busara ya hali ya juu bila kukurupuka.....sasa kuhusu madai yao ya mshahara wa m3.5 na malipo mengine bila shaka kuna sehemu wameziona zipo au zinaflow na kuna watumishi wa serikali wanalipwa mishahara minono ukiondoa wabunge,,.kwa nini nasema hivo haingii akilini mtu udai kitu ambacho hakiopo kwa mfano una mtoto hajalipiwa ada,uniform toka la kwanza mpaka leo la 5 hajabadilisga daftari hana uskie anakuomba umnunulie baiskeli ya kwendea shule au hela ya kula shule....kwa hiyo tunalmba watueleze madaktari tujue hii pesa ipo na sisi tunaibiwa ila na sie watumishi wengine tudai...wasipofanya hivo basi mi nawaona ni wabinafsi na wanafikiri wao ndo wamuhimu kuliko wengine,,,,,,kila mtu ana umuhimu hapa nchini kwa nafasi yake,,.hivi mkulima akigoma mvuvi agome mfugaji agome we utakula hizo hela??....watueleze tu bayana ndo tutawunga mkono vinginevo tutawapiga mawe.......
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom