Budget Wizara ya Utumishi: Mishahara kupanda kwa 15-20% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Budget Wizara ya Utumishi: Mishahara kupanda kwa 15-20%

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nzenzu, Jul 2, 2012.

 1. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Leo ndio leo, Wafanyakazi/Watumishi wa Serikali macho yote Bungeni leo kujua ni nini haswa kinaendelea! Bajeti ya Wizara ya Utumishi 2012/2013 kusomwa leo!
   
 2. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kiwango rasmi kujulikana baada ya muda mfupi!
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbona unajistukia au kwa kuwa umeanzisha thread
   
 4. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  No! Kiwango rasmi kipo ndani ya hiyo rate 15-20, exact figure kutajwa, yawezakuwa 18%
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Una uhakika au unawarusha watu roho tu??
   
 6. k

  kygrykos Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiwango kipi? hakuna jipya
   
 7. a

  apamwita Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nothing new bandugu
   
 8. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  HOTUBA YA BAJETI Ndio inasomwa sasa!
   
 9. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  "Serikali imeeleza utayari wake wa kuongeza mshahara kwa kati ya asilimia 15 mpaka 20 kama ambavyo itafanya kwa watumishi wote wa umma katika mwaka huu wa fedha." J.K
   
 10. k

  kygrykos Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :embarrassed1:
   
 11. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ukilinganisha mfumuko wa bei na mambo mengi yanayosababisha kupanda kwa gharama za maisha, ukichunguza kiuchumi utagundua 15 - 20% haita saidia kabisa. Mbaya zaidi, wafanya biashara nao wanafatilia kwa makini kujua kama kunaongezeko la mshahara ili nao wapandishe bei kama kawaida yao. Na hivi hatuna chombo cha kudhibiti bei katika hili soko letu huria (holela) basi sisi walaji (consumers) ndiyo wa kuumia kilasiku.
   
 12. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Je itakuwa katika category?
   
 13. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mbona sijasikia hiyo habari ya nyongeza ya mshahara na hotuba ishaisha?
   
 14. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  vasco da gama jana aliropoka mishahara kuongezwa kwa15-20%,najua zilikuwa sanaa tu hizo toka kwa mzee wa ahadi 90 wakati wa kampeni za 2010
   
 15. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Nothing new, bajet imemalizwa kusomwa. Hakuna nyongeza ya mshahara duu, hii kali au itaongezwa kimya kimya
   
 16. d

  degauce New Member

  #16
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli nchi ya ahadi
   
 17. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yani hakuna nyongeza? Tuandamane bandugu
   
 18. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ni nchi ya ahadi kwa wanaoisubiri hiyo ahadi na ni nchi ya asali na nzige kwa wenye nchi
   
Loading...