Kwanini hospitali za wilayani hazina Migomo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini hospitali za wilayani hazina Migomo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, Jul 1, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mawilayani hawa ndio wagawana mafungu yote ya afya. Tenda za kuzoa taka, kusimamia chanjo, kuuza dawa za selikalini na karibu wote wanamaduka ya madawa na watoa vibari vya maduka batili. Pia ndio watoamimba laki kila mimba.

  Wilaya zina madaktari kati ya watano hadi kumi wakiifanyia ubadhilifu bajeti ya afya ya wilaya na dili zao.

  1200000 ambayo ni sawa na tsh 800000hivi cash zinawatosha. Ila wale wa muhimbili, bugando, kcmc, na wamikoani ambao hawazipati hizo dili wafikishieni mil 2.5 kushika damu, maini na figo za watu si mchezo.
  Kupima haja na maiti tena kwa msomi na kuangalia maiti.

  Acha tu wagome
   
 2. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wanao goma ni madoctor wilayani hakuna madoctor ni wauguzi tu
   
 3. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145


  Pomoja na uchambuzi wako wote huo, ujue huko hakuna madaktari (MD). Ukija mgomo wa wauguzi wa rank zote ndiyo utahakikisha haya ninayokwambia.
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Na hakiwepo DR wilayani moja kw amoja nakuwa ndiye Mganga mkuu wa Hospital
   
 5. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wilayani unakuta wamejaa ma AMO(Assistant Medical Officer), sampuli za kina Aisha Kigoda au Antony Mbasa.
  Hawa ndo vingunge kule, wameridhika na CCD, wanangojea mafao yao ya kustaafu.
  Unakuta kuna MD wawili, mmoja DMO, mwingne MO I/C.
  Wote ni watawala, hawawezi goma.
   
 6. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pia wana vihela vya semina kibao, maana pesa za Basket fund ndo zinamwagwa huko, kifupi hawategemei mishahara, wanaishi kwa semina na madili mengne.
   
 7. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wewe ni KIPOFU KABISA!Madaktari wa wilaya WanaAKILI na Wanajua walichotumwa na watanzania!Wamevaa Uzalendo wana Utu!Waliogoma hawana Utu bali ni wanyama!
  Aliekuambua madaktari ndio wenye kazi za kutoa tenda mawilayani ni nani!Mkweche nipo kwenye gamu la afya kitambo!Madaktari wa Mjini wana Maduka ya dawa,Cliniki na sehemu kibao za kufanya part time!na wakiwa hospitali za serikali wanazuga na wengine wanakueleza mkutene kule kwa Tatizo lako!
  Madaktari wa wilayani hawana kipato cha pembeni kama wale wa MJINI
   
 8. Gwaje

  Gwaje JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 271
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 45
  Jana nilikuwa naongea na DMO wilaya moja wapo ya mkoa wa Tabora yeye akasema kwanza MD yuko pekeyake na kapewa uongozi anavikao, na mafungu anayo nafasi ya kuiba na kuchakachua awezavyo. lakini pia yeye sasa ni mtawala hafanyi kazi nyingi za utabibu hivyo hata pesa za vikao tu zinamtosha kuishi. Japo yeye alisema huku wako watu masikini sana hivyo anawaonea huruma Lakini kiukweli tunahitaji viongozi ambao hawafichi nakuhadaa umma eti wao wako safi ila wengine ndio tatizo
   
 9. Josephine

  Josephine Verified User

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unazungumzia hospitali zipi? wilaya ngapi zina hospitali?
  Wilaya nyingi hata Dispensary hawana.

  Taarifa za migomo vijijini hawazijui labda makao ya mikoa tu.

  Nchi hii inaendeshwa kikatili sana laiti watu wangeujua ukweli ,kila mmoja angekuwa na sababu ya kuipigania nchi hii.
   
 10. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Wilaya gani ambayo haina hata Dispensary.
   
 11. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tutajie 20. Au kama nyingi inaanza na mbili, tutajie hizo mbili.
   
 12. Josephine

  Josephine Verified User

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wilaya ya Manyoni,inategemea hospitali ya Mission St Gasper,wilaya ya Iramba hususan jimbo la iramba Mashariki wamechangishwa pesa za Dispensary kwa miaka kumi hata msingi hakuna.

  Najua nachokizungumza niko huku na nimeizunguka Tanzania hii.

  Tusiongee nadharia.
   
 13. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kutujuza,kweli ni nyingi bado zinasuasua
   
 14. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Au wao ndio wenyewe mabosi. Nasikia ata wilayani madaktari wanajenga nyumba ata kila mwaka kama wakitaka
   
 15. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Labda wamepigwa mkwala na mkurugenzi wasithubutu kugoma
   
 16. m

  mgao wa umeme Member

  #16
  Jul 2, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wilayani HAKUNA MDs, 99% ni AMO na CO. mfano mzuri ni hospitali ya wilaya kilosa MD ni wawili; DMO na MD mmoja anayefanya wd ya wazazi. medical officer incharge ni AMO. Ukiwambia swala la mgomo, wanakwambi wao hawawezi kugoma. lakini wao ndo wakwanza kuulizi kila siku update kama mshahara umepandishwa. Hili tatizo ndo inaikumba hospitali za mkoa wa DAR, ukienda AMANA maAMO ni wengi zaidi ya maMD, the same apply to TMK and Mwananyamala. AMO ataenda wapi zaidi ya kufanyakazi hapa Tz, ndo mana lazima wailambe serikali mguu. Kwao kutoa huduma katika mazingira magumu sitatizo, kwani macho hayawezi kuona kituambacho uijui, maMD ni ndo waalimu wa hawa jamaa. Kwenye syllabus hakuna mambo ya kisera so haya mambo tunayodai hawayajui
   
Loading...