Jamani, Juma Mgaza ndo nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani, Juma Mgaza ndo nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Buta, Jul 1, 2012.

 1. B

  Buta Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu Wananchi;
  Kwa niaba yangu na kwa niaba ya Serikali natoa
  mkono wa pole kwa Dkt. Steven Ulimboka na
  kumuombea apone haraka ili aungane na familia
  yake na Watanzania wenzake katika ujenzi wa
  taifa. Kwa namna ya pekee namshukuru na
  kumpongeza Bwana Juma Mgaza, kwa moyo
  wake wa huruma na upendo na kwa hatua
  alizochukua za kumsaidia Dkt. Ulimboka.
  Naomba kumaliza kwa kuwasihi madaktari
  kuacha mgomo na kurejea kazini. Watanzania
   
 2. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Muislam aliyemuokota na kumsaidia dr. Ulimboka
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Na ASP Mokiri ni nani?
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Hemed Msangi je?
   
 5. B

  Buta Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mm Nadhan atakuwa mwislamu aliye okoka.
   
 6. a

  anney Senior Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 7. i

  iseesa JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siyo Hemedi ni Ahmedi Salim Msangi
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi ni lazima mseme ni muislam hamuwezi kusema ni mtanzania.. Too much udini nyie watz
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kama siyo majina kufanana, hii link inaweza kuwa na maana pana sana...!
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kulikuwa na haja ya kumtambulisha kwa dini yake?
   
 11. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,540
  Trophy Points: 280

  fikira fupi, mawazo mafupi? hujielewi na hujui kuwa hujielewi ..lakini ni ujinga tu ipo siku utakutoka..yaani kusema ni mwislamu ndo uislam utaonekana safi? au kwa hilo litaonesha wakristo ovyo? vipi kama angekuja mtu hapa akasema (mf: nyerere ndiye aliyeruka UN kuomba uhuru alikuwa ni Mkrito!..ungemhisje huyo mtu? pima akili yako...AFRIKA YOTE NA WATANZANIA NI NDUGU BILA KUJALI UISLAMU AMA UKRISTO
   
 12. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,540
  Trophy Points: 280

  wewe nawe cjakuelewa ni sawa tu na huyo aliyeingiza udini kwenye hii thread yako! kichwa cha habari akiendani na content uliyoandika hapa! pili wewe ni nani utoe mkono wa pole kwa niaba ya serikali...sema uombe radhi kwa niaba ya serikali kama upo huko serikalini na unajua kinachoendelea! mimi hata niuwawe leo siwezi kukubali kuwa Dr Ulimboka akupigwa na Serikali yenyewe, huu mchezo c tofauti na wakumficha Balali kisha wakasema amekufa! juzi juzi Mtu flani alipotaka kutoa siri za kumwona huko marekani kauwawa mbele ya nyumba yake na majambazi..(intelejensia imelala mpaka sasa hakuna taarifa nani mhusika)_Dirty Government nani ataiamini?
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,829
  Trophy Points: 280
  Sasa mtoa mada mbona unajichanganya! Sasa unataka nini
   
Loading...