Udaktari haulipi, Wanafunzi wanakacha PCB. - Hatari kwa Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udaktari haulipi, Wanafunzi wanakacha PCB. - Hatari kwa Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Jul 2, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Sasa wanafunzi wanasema kuna haja gani ya kujipinda na PCB wakati Accounts, malawyer wanapeta

  So Serikali imechemsha. Kutakuwa na upungufu wa madokta. Wanafunzi hawahangaiki na PCB
   
Loading...