Tume yaanza kazi katika sehemu zenye upinzani dhaifu, coincidence? au planned? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume yaanza kazi katika sehemu zenye upinzani dhaifu, coincidence? au planned?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Hofstede, Jul 1, 2012.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nimeangalia maeneo yalitangazwa na Jaji Warioba nikajiuliza kwa nini imechagua maeneo haya kwa kuanzia?, je ni strategy kama ile ya kutangaza matokeo ya uchaguzi ya 2010 kwa kuanza na sehemu CCM ilikopata ushindi mkubwa?. Maeneo hayo ni Bahi, Biharamulo, Mbulu, Mafia, Kahama, Lushoto, Mkoa wa kusini unguja wilaya ya kusini. Haya ni maeneo ambayo yanaongozwa na wabunge wa CCM. Je kuna strategy imewekwa kama pilot ya kuendesha kitaifa baada ya kupata picha ya maeneo haya?. Wapinzania wasibweteke na tume ya Warioba ' NINAONA GIZA TOTOROO MBELE YA KATIBA MPYA'!

  Tuipe muda tume ila nina mashaka makubwa sana na mchakato huu. Hasa ukizingatia kuwa namna mabvyo kura ya maoni itasimamiwa ahijajulikana. Muswada wa kujua bunge la katiba litakuwaje nao haujawasilishwa.

  Wasiwasi wangu kuwa baada ya kiini macho cha kukusanya maoni kunaweza fanyika mavouvre ambayo yawaacha wapinzania na watanzania mdomo wazi na kujikuta tukirudi kwenye kipeo cha kwanza.

  [video]http://www.katiba.go.tz/index.php/video?task=play&id=13&sl=lates t&layout=listview[/video]
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Nadhani ni planned maana sehemu kama hizo zina watu wengi wasio jua kinacho endelea nchini.
   
Loading...