Wabunge wa CHADEMA kumpeleka Ulimboka India kwa matibabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CHADEMA kumpeleka Ulimboka India kwa matibabu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Jun 30, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndio heading niliyotegemea kuona kwenye magazeti ya leo kwa sababu kwanza CHADEMA ni chama mbadala na wao hawana maneno mengi zaidi ya vitendo.

  Hiyo milioni 90 zinazohitajika kumpeleka ulimboka India wabunge wa CHADEMA wanaweza sana kuzichanga. Mfano Freeman akitoa milioni 40, Slaa milioni 20, Zitto milioni 15, na zilizobaki zikatolewa na wengine kama akina Edwin Mtei na Ndesamburo naamini kuwa by juma 5 Dr Ulimboka angekuwa Apollo India anafanyiwa matibabu mpaka apone

  Wakati huo huo wabunge waliobaki wa CHADEMA wanaweza kuchanga mpaka milini zingine 100 kwa ajili ya familia ya Dr Ulimboka.

  Sasa inawezekana kuwa tayari CHAMA MBADALA cha CHADEMA kinafanya maamuzi ya mwisho juu ya jambo hili lakini kama kweli wakitekeleza hili bas naamini kuwa watakuwa wamejiwekea mazingira mazuri ya hapo baadae

  Haya tena CHADEMA kazi kwenu!
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hii imekaa kimbeya-mbeya zaidi kuliko kuwa na sincerity.
   
 3. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,003
  Trophy Points: 280
  Nguvu ya umma people poweeer
   
 4. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,378
  Likes Received: 8,537
  Trophy Points: 280
  Mkilala mkiamka CHADEMA nyie wakuda mnakuja na vi ID vya kuichafua CDM mkomeeee. Habari yote umbea kichwa cha habari na habari ndani vitu viwili tofauti
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kuna watu huwa wanatafutia wenzao ban, kama wewe mleta mada....
   
 6. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dhaifu
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kubenea mlipo mkosa kosa mkuua alipelekwa India na chama gani?....
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Sasa sielewi ni kwamba Chadema wamesha changisha pesa za kumtibu au ni kwamba wewe ndicho unacho taka kitokee?:eek2:
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ulafi ukizidi huharibu uwezo wa kufikiri.
   
 10. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mod liwalo na liwe usiponiruhusu nimtukane tusi la nguoni huyu mtu jiandae kunipiga ban ya milele.
   
 11. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ninyi siku zote muwe wa kujeruhi na kuua, halafu CDM ndiyo wawe ya kupeleka India? Huo mgawanyo wa majukumu ameupanga nani?
   
 12. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Je kuna ubaya uongozi wa CHADEMA wakampeleka Dr Ulimboka India kwa matibabu?

  Jibuni hoja
   
 13. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,131
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Na kama ndicho walichokifanya unajuaje, wajitangaze wakati bungeni mmesasema kuwa kuna vikundi vinataka nchi isitawalike kwa kuchochea migomo.

  Jiulize, jana tu ilisemekana madaktari kwa uwezo wao walifikisha milioni 40 kati ya 90 zilizotakiwa. Sasa hivi Ulimboka nasikia ndege yake inapita juu ya anga za ninakoishi.

  Je, unadhani hilo gap la milioni 50 wamelijazaje kiasi kwamba hata hulizungumzii?
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  left-hand thinking capacity
   
 15. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,691
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Yaani mkuu unavyozizungumzia hizo hela utafikiri wewe uko loaded!!
  mil.40.... mil20 .... mil 15... utafikiri zinaokotwa tu.
   
 16. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  mleta mada atakuwa katumwa. si bure
   
 17. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,131
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Jibu unalo, nani alimsindikiza Zitto Kabwe kwenda India matibabuni?
   
 18. paty

  paty JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  huyu mtoa mada ni nani huyu ???? naona kama hajui anaongea nini vilee
   
 19. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,378
  Likes Received: 8,537
  Trophy Points: 280
  MOD ifute hii mada utanipa Ban ya mwezi plz kama isipofutwa
   
 20. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Net personal worth ya Freeman Mbowe na baba Mkwe wake (Edwin Mtei) ni zaidi ya 50 million USD

  Ndesamburo peke yake ana worth zaidi ya 100 million usd

  achilia mbali hao vidagaa akina Zitto na wengine

  CHADEMA uongozi wao wajuu peke yake hawashindwi kumlipia matibabu Dr Ulimboka huko India

  na hii itaonyesha kuwa CHADEMA ni tofauti na CCM sasa sioni kwa nini watu wamekuwa sensitive hivi
   
Loading...