Tamko la muungano na jaji werema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la muungano na jaji werema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by joeprince, Jul 5, 2012.

 1. j

  joeprince Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  “Nikiri kuwa tamko hilo la kuridhia makubaliano ya Muungano sijaliona lakini Aprili 25 mwaka 1964 Baraza la Mapinduzi la Zanzibar lilipitisha makubaliano hayo na baadaye Bunge liliyaidhinisha,” alisema
  KAMA MWANASHERIA MKUU WA NCHI ANASEMA HIVI AN UHALALI WOWOTE NA CHEO CHAKE? INATISHA KWA KWELI
   
Loading...