Mh. Werema amfundisha Lissu somo la sheria bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Werema amfundisha Lissu somo la sheria bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Jul 4, 2012.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mh. Mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema, amempa somo Tundu Lissu kuwa bado ni mchanga kwenye sheria, kwani yeye anajua sheria za mazingira tu na hajui sheria za katiba. Kwa maana hiyo basi, ameseme yeye amejitolea kumfundisha Lissu sheria za katiba ili aweze kutafsiri vizuri katiba na kujua maana yake. Hii yaonyesha kumbe Lissu ni mchovu wa elimu ya sheria ya katiba. Kitu kama hukijui Mh. Lissu , sema hukijui kuliko kupotosha wananchi kwa maana siyo.
   
 2. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Acha ukichaa mimi nafikiri hata elimu yako niyakimagamba
   
 3. m

  majebere JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Naona mambo yanaanza kuwa magumu kwa hawa vidagaa wa siasa. Mwisho watakaa kimya bungeni.
   
 4. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dhaifu
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Werema angekuwa anajua sheria za katiba angeleta ule uvundo bungeni yeye na Celina Kombani wake na kuuita muswada wa katiba mpya? Pamoja na kejeli zake wakati huo lakini siku 40 baadaye wabunge walikaa tena na kuufanyia marakebisho! Hatuna mwanasheria mkuu, tuna msanii mkuu!
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa kipi unacho bisha hapo ? Mh Werema amesema wazi watu wenye utaalamu na elimu ya sheria ya katiba ni kama Dr. Mwakyembe, Prof. Palamagamba Kabudi na sio Prof. Shivji, yeye hakusomea sheria ya katiba. Sikiliza Bunge acha uchovu

   
 7. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Hadidhi za bulicheka hizo, mbona naye anataka kuwa kama Nchemba? first class halafu utekelezaji wa majukumu zero.
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Washwa washwa
   
 9. J

  John W. Mlacha Verified User

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  2015 ndio mwisho wao.
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wakati nondo zinamwagwa Mh lissu alikuwa kimyaaa ananesa kichwa tu kukubaliana na kile Werema alichokuwa akikisema, kweli muosha huoshwa
   
 11. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Debate karibu zoote bungeni lissu amekuwa akitoa maelekezo kwa ag au sasa kakomaa? Mm najua ag ni mtuuupu kwa lissu
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nondo zilizo mwagwa na werema leo, lissu alikuwa kimyaa na mtulivu akisikiliza wajuzi wa mambo wanavyo muelimisha
   
 13. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Mwizi unamchukulia kama mwizi,vilevile mjinga nae unamchukulia kama mjinga tu.
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kati ya LISSU NA WEREMA nani MWANAFUNZI na nani MWALIMU KWA MWENZIE?
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Mimi bado huwa najiuliza sifa za mtu kuwa jaji...maana huyu AG ni aibu tupu! Alipataje ujaji?
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Werema ni mla matapishi maarufu, alisema hakuna haja ya katiba mpya sasa tunafanya nini? akaleta muswada wa katiba mpya uliojaa makengeza na bila aibu akautetea, what happened? Hii ya leo is just another episode, lakini Lissu keshamwaga mboga na ugali kwa pamoja.

  Kama kweli Werema ni mwanaume na anajua sheria aende Zanzibar tena afuatane na huyu Shamsi Vuai wake anayewinda vyeo bara akawaambie UAMSHO hayo aliyosema bungeni. I challenge him.
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwenye fani ya sheria na wao wan a specialize kwenye specific areas tu na si kuwa kila mtu anajua kila kitu. Mh lissu yeye ni mtaalam wa sheria za mazingira na si mtaalam wa sheria za katiba. Magwiji wa utaalam wa sheria za katiba ni Dr mwakyembe na Pro palamagamba kabudi
   
 18. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwenye fani ya sheria na wao wan a specialize kwenye specific areas tu na si kuwa kila mtu anajua kila kitu. Mh lissu yeye ni mtaalam wa sheria za mazingira na si mtaalam wa sheria za katiba. Magwiji wa utaalam wa sheria za katiba ni Dr mwakyembe na Pro palamagamba kabudi
   
 19. k

  kitero JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana ila ujue binadamu ananjia mbili za kupata au kujua
  1.Kwakujifunza mwenyewe
  2.Kwakufundisha.

  Kwahiyo ni yakawaida mno na sii jambo la kushangaza na tunatofautiana huwezi ukawa unajua kila kitu.Tunajifunza kwa kuchangiana mawazo mkubwa kwa mdogo msomi na asiye msomi.
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sasa tunajuwa ni kwanini Prof Shivji hakuteuliwa kwenye Tume ya Warioba, wakubwa wanataka 'makada' na huyo Pof Kabudi ticks the box! Mkuchika naye baada ya kupenea chupuchupu ya re-shuffle anaonekana kupata nguvu ya kutetea serikali dhaifu. 48 years wanaulizwa faida za muungano wao wanakuja na ngonjera. Not any more.
   
Loading...