SWALI: Wabunge wetu wa kutoka PEMBA kwanini muna hofu ya kuvunjika muungano?

Same ORG

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
321
21
Hawa jamaa wanahistoria mbaya huku nyumbani, kama mtakunikubali mbunge kwa mfano ikiwa amekaa ubunge miaka 15, siku akiondoshwa tu anakua maskini, kuna kitu gani hapo dodoma wanafanya hawa wabunge wetu? au wabunge wetu wanahofia kuvunjika muungano kwakua kuna vitu adimu wanapata huko TANGANYIKA na huku kwetu hakuna?
 
Ila heading yako ni tofauti kabisa na content uliyotupa. Nikilenga heading pekeyake, wabunge wa Pemba wanahofu zaidi si kwenye muungano wa tanganyika na Zannzibar, bali pia walishawahi kuulizana ni lini Unguja na Pemba viliungana? Hivyo ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Unguja na Pemba vimeshikiliwa na huu muungano wenye kero lukuki.
 
Back
Top Bottom