maswali ya papo kwa papo kwa pinda.. Bungeni.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maswali ya papo kwa papo kwa pinda.. Bungeni..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sir.JAPHET, Jul 5, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bungeni leo ambapo swali la papo mbowe ameuliza kwa pinda.. kwamba jina la tanzania limechafuka duniani kote kuhusu utata na hisia kwamba serikali inahusika kwa dk, ulimboka, na nin move ya serikali kujisafisha? Na ameomba tume huru iundwe.. Mbali na polisi kuchunguza tukio hilo
   
 2. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pinda ni mtaalam wa kutoa majibu.. Amejipanga.. Hana siasa na mbwembwe
   
 3. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  philipi, mkosamali ametaka kauli ya serikali kuhusu deci na bayport.. Kutoka kwa pinda.. Pinda anajibu kuwa wizara imeagizwa kuwaelimisha waalim ambao ni wengi kwenye bayport.. Mkosamali anakomaa kuwa wakurungezi wa watumishi wanahusika.. Kwenye halmashauri kuwachakua watumishi kwenye riba za mikopo yao
   
 4. W

  WildCard JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Suala la Dr Ulimboka hajalijibu vizuri. Anajua hatapona nini! BBC leo asubuhi wamesema amewekewa machine za kumsaidia kuishi. Sijasikia mtu kafikia hatua hiyo halafu akapona.
   
Loading...