Mama kilango malecela.. Anawakilisha maoni ya kamati ya miundo mbinu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama kilango malecela.. Anawakilisha maoni ya kamati ya miundo mbinu..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sir.JAPHET, Jul 5, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo ya miundo mbinu.. Mrs, Ana Malecela ameanza kusoma na kuwakilisha maoni ya kamati ya miundo mbinu.. 2012/13 bungeni, amepongeza Wizara ya Ujenzi na serikali ya CCM..

  Na mfuko wa barabara kusimamia matumizi na mapato ya barabara na ameomba wahusika waongeze ushirikiano, na ameeleza kero ya road congestion.. Jijini darslam na amesema serikali inapoteza tirilio 1.4 kwa kila saa kutokana na msongamano wa magari.. Na amesema mapendekezo ya kamati yasiishie kwenye makabrasha..
   
 2. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ameomba kuwepo uadilifu na usimamizi mzuri kwa wafanyakazi wa mizani ili kuondoa utata na ujanja katika vituo hivyo vya mizani..
   
 3. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mam ana malecela ameunga mkono hoja ya miundo mbinu... Wizara ya ujenzi.. Na ameomba kuweka mikakati inayotekelezeka kutunza mazingira.. Na ameomba kuwepo na team work imara kati ya kandarasi na watendaji wote kwa ujumla wizara makatibu na wakurugenzi
   
Loading...