Mode unganisha na hizi topic za mwilini

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Mod mnaoshinda online naona pia mwengefanya jambu la busara kama mungeziunganisha ,hizi topic zinazoonyesha CV za baadhi ya wabunge ,ili ziwepo pamoja kwani zimejaa kama uyoga mwitu.
 
Hizi CV zitatusaidia nini ,hivi ubunge unahitaji CV kwani wenye CV kubwa kubwa na zinazotisha ndio watenda kazi nzuri inayokubalika na wananchi ,wekeni Cv za wanaohusika na rushwa kubwa kubwa,mafisadi wakubwa walio kwenye ngazi zinazoshutumia kuiibia serikali na sio hizi za wabunge waliochoka.
 
Back
Top Bottom